Hahah Supra yenye engine hio hio ya 2jz-gte unaiita ni performance car lkn Aristo hio hio yenye 2jz-gte unaiita ni gari ya kawaida.Sasa hapa sijui tunaongelea kitu gani.Performance cars nyingi ni sports/super/hyper cars.
Zinatoka kiwandani stock na performance zake.
Ila hizo nyingine ni sawa na mtu afanye mod Rav 4 yake halafu aiite performance cars.
Aristo, Mark II, Crown, Brevis, Mark X ni gari za kawaida. Sema tunazimod ili na sisi tujimwambafy na kina Benz, BMW n.k.
Supra ni performance car yenye room ya mods.
911 nayo pamoja na stats zake zilizotisha ila bado kuna room ya mods. Kuna makampuni kama Manhart, BKperfrmance, mtr, ab, rauh welt, rainspeed, gemballa. Hawa wote wamespecialize kwenye mods za european na tena zile highend.
Tena kuna kampuni moja imespecialize kuzitune hizo 911 mpaka zina cheua hp za kufa mtu. Iweje wewe useme hizo 911 huwezi zifanyia mods?
Ngoja twende pound for pound.Hahah Supra yenye engine hio hio ya 2jz-gte unaiita ni performance car lkn Aristo hio hio yenye 2jz-gte unaiita ni gari ya kawaida.Sasa hapa sijui tunaongelea kitu gani.
Hizo Crown,Mark x,Brevis sio performance car na ukisema wanazimodifai ili kujimwambafy na kina benz,Bmw si kweli sababu hata hizo hizo benz,bmw ulizozitaja nazo zina gari za kawaida ambazo Ziko kwny hio class za Mark X,Brevis,Crown kama vile C-class(C180,200,C220,c230,c240,c320),3 series(316,318,320,323,328,330) kwa hio ukisema mercedes,Bimmer taja kabisa unaongelea model gani maana hua mnaiongelea mercedes as if models zote hua ni S63/S65/ CL65/ SL65 AMG,Bimmer M-series.Inshort msisahau pia Co. hizo zinazalisha pia gari za hovyo hovyo za level ya Vits (Toyota) kama vile mercedes A-class.
Nilisema Engines za 911 ni delicate hazina uwezo wa ku hold high boosted pressure kulinganisha na Supra ambazo unaweza kui boost mpk 75psi kwa internal parts zake zile zile,911 ukifikia psi hizo kwa internal zake hizo ni impossible zina basti mpk ufanye swapping ya parts za kuweza kuhold psi za kuhimili pressure hio.
Kuna wale wanyama wa BMW M Series ni [emoji91][emoji91] sedan zina V8 Bi turbo 600 HP mark x inakaaje humo.... Hat Landcruiser za Ccm hazigusi huo motoNgoja twende pound for pound.
Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?
Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?
Mark X au Crown inazisumbua Germany ndogo za cc2000 non-turbo nazo wakikaa kwenye long stretch Crown au Mark X inachemka(been there done that nina cc2000 ya Mjerumani hizo Crown na Mark X labda kwenye traffic light ndio atatangulia ila tupate stretch ya km2-3 namwacha.
Kifupi ukichukua pound for pound stock no mods hakuna mjapana atamsumbua Mjerumani ni vile tu tunafanya comparison zisizo na usawa mfano Crown vs Golf 2.0 ambayo pia ni vita kweli kweli.
Tafuta cc2000 ya Mjapan non turbo ipambanishe na cc2500 ya Mjerumani hata kuiona hata Iona.
Sure MkuuMazingira ya barabara zetu mengi yanafanana
Umegusa mule muleNgoja twende pound for pound.
Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?
Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?
Mark X au Crown inazisumbua Germany ndogo za cc2000 non-turbo nazo wakikaa kwenye long stretch Crown au Mark X inachemka(been there done that nina cc2000 ya Mjerumani hizo Crown na Mark X labda kwenye traffic light ndio atatangulia ila tupate stretch ya km2-3 namwacha.
Kifupi ukichukua pound for pound stock no mods hakuna mjapana atamsumbua Mjerumani ni vile tu tunafanya comparison zisizo na usawa mfano Crown vs Golf 2.0 ambayo pia ni vita kweli kweli.
Tafuta cc2000 ya Mjapan non turbo ipambanishe na cc2500 ya Mjerumani hata kuiona hata Iona.
'Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?'Ngoja twende pound for pound.
Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?
Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?
Mark X au Crown inazisumbua Germany ndogo za cc2000 non-turbo nazo wakikaa kwenye long stretch Crown au Mark X inachemka(been there done that nina cc2000 ya Mjerumani hizo Crown na Mark X labda kwenye traffic light ndio atatangulia ila tupate stretch ya km2-3 namwacha.
Kifupi ukichukua pound for pound stock no mods hakuna mjapana atamsumbua Mjerumani ni vile tu tunafanya comparison zisizo na usawa mfano Crown vs Golf 2.0 ambayo pia ni vita kweli kweli.
Tafuta cc2000 ya Mjapan non turbo ipambanishe na cc2500 ya Mjerumani hata kuiona hata Iona.
Ahahah 'Bi Turbo'.Kuna wale wanyama wa BMW M Series ni [emoji91][emoji91] sedan zina V8 Bi turbo 600 HP mark x inakaaje humo.... Hat Landcruiser za Ccm hazigusi huo moto
[emoji23][emoji23]Ahahah 'Bi Turbo'.
Wazee wa kujaza ma turbo.
Unajua maana ya pound for pound? Chukua hio 2gr ipambanishe na 540i, 3gr na 530i,4gr na 523i. Hio 4gr hata kwa 2.0 chips kavu umbali mrefu haichomoki.'Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?'
-Top ya Mercedes(S class),ya Bmw 7 series zinashindana na lexus LS na sio toyota Crown
'Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?'
-Mark X 2009(2nd gen/last gen maana mark x zio siioni kama ni mark x ile) engine 2GR-FSE HP 315) vs 2009 523i HP 201,530i 255HP hapo hizo 523i&530 zinakatizia wapi?Hapo Audi A6 2009 3.0T itaenda kupambana na mark x supercharger 2GR-FSE),525i hii nimeendesha na ilikua ya kawaida sana kwny mbio apart from prestige ya badge lkn haikua na maajabu.,pia hio 2gr-fse nimeiendesha ikiwa kwny avalon(UK),528i ilikua inaachwa mbali saana so sioni 530 itafanya miujiza gani hapo.
Ujanja wa mjerumani ni kwny kujaza ma supercharger/turbo lkn kwny natural aspirated engine ni wa kawaida sana/hana miujiza.
Halafu hii style ya kujibu imefanya nijue wewe ni nani. Nilikuwa najiuliza umepotelea wapi?!'Crown ndio top saloon ya Japanese Toyota line. Unafikiri inaweza kwenda sambamba na top ya Germany line?! Mfano top wa Merc au BMW?'
-Top ya Mercedes(S class),ya Bmw 7 series zinashindana na lexus LS na sio toyota Crown
'Mark X wenzie akina 5seriese au A6 unafikiri Mark X inaweza kupambana na 523i au 530i?'
-Mark X 2009(2nd gen/last gen maana mark x zio siioni kama ni mark x ile) engine 2GR-FSE HP 315) vs 2009 523i HP 201,530i 255HP hapo hizo 523i&530 zinakatizia wapi?Hapo Audi A6 2009 3.0T itaenda kupambana na mark x supercharger 2GR-FSE),525i hii nimeendesha na ilikua ya kawaida sana kwny mbio apart from prestige ya badge lkn haikua na maajabu.,pia hio 2gr-fse nimeiendesha ikiwa kwny avalon(UK),528i ilikua inaachwa mbali saana so sioni 530 itafanya miujiza gani hapo.
Ujanja wa mjerumani ni kwny kujaza ma supercharger/turbo lkn kwny natural aspirated engine ni wa kawaida sana/hana miujiza.
Aisee kumbe nilishawahi kuwepo humu ndani?Halafu hii style ya kujibu imefanya nijue wewe ni nani. Nilikuwa najiuliza umepotelea wapi?!
Aisee kwa hio zile golf gti zilizoandikwa 320km/h kumbe zinafikia hio top Speed sio?Kumbe wanaonunua magari kwa kuangalia top speed ambazo kamwe hazijawahi na hatizawahi kufika wapo?Unajua maana ya pound for pound? Chukua hio 2gr ipambanishe na 540i, 3gr na 530i,4gr na 523i. Hio 4gr hata kwa 2.0 chips kavu umbali mrefu haichomoki.
Hizo zote ulizotaja stock hazichomoki hapo tena umbali mrefu ndio kabisa.
Kwahio unakataa Crown sio top saloon ya Mjapani? Hivi gari inaishia 180kph itaweza vipi kushindana na gari inayoenda zaidi ya 200kph? Labda kutoka kuwahi kuondoka kwenye mataa.
Kwahiyo gari zote za ujerumani hazimalizi visahani vya 320kph? Au ni golf tu unaoiongelea?Aisee kwa hio zile golf gti zilizoandikwa 320km/h kumbe zinafikia hio top Speed sio?Kumbe wanaonunua magari kwa kuangalia top speed ambazo kamwe hazijawahi na hatizawahi kufika wapo?
Nikupe somo rahisi hizo dashboard top speed ni marketing strategy tu na wala hio top speed haifiki.
Unabisha khs Stock kupambana na hizo wkt mimi nimeendesha hio Avalon na 528i ilikua haisogei,sasa sijui hapo tunakua tunabishana nini.
Yes huwezi kushindanisha Mercedes/Bmw hizo top na Crown,hizo zinashindanishwa na LS(Na hio ni dunia nzima) labda huku Bongo ndio zinashindanishwa na Crown.
Sawa.Aisee kwa hio zile golf gti zilizoandikwa 320km/h kumbe zinafikia hio top Speed sio?Kumbe wanaonunua magari kwa kuangalia top speed ambazo kamwe hazijawahi na hatizawahi kufika wapo?
Nikupe somo rahisi hizo dashboard top speed ni marketing strategy tu na wala hio top speed haifiki.
Unabisha khs Stock kupambana na hizo wkt mimi nimeendesha hio Avalon na 528i ilikua haisogei,sasa sijui hapo tunakua tunabishana nini.
Yes huwezi kushindanisha Mercedes/Bmw hizo top na Crown,hizo zinashindanishwa na LS(Na hio ni dunia nzima) labda huku Bongo ndio zinashindanishwa na Crown.
Sema si wanasema ni boxer engine kama ya subaru???Shida ya hio boxster ni kitu inaitwa IMS Bearings kama hio gari unayonunua wamesharekebisha hilo tatizo then poa,maana inaletaga tatizo la engine kufeli mazima huko mbelemi.
Ah mzee aristo si a four door supra?Hakuna cha Aristo pale.
Labda bugatti kwenda mbele.