Arrived safely.Duuh unaujasiri aiseeeeh
Fuel tank empty hadi taa inawaka kwenye dashboard na bado unakanyagia 140....!!!
Natumai ulifika salama.
Ndo f12 berlinetta au?Ferrari f12
Hii mtu hata huipigii mahesabu ya kuivuta asee na vipato vyetu hivi. Twabaki kuziona tuDah chombo imetulia kishenzi
Wanavuna....usipokuwa makini kwenye 50kph zone lazima wakulambeJana wakati narudi Dar, nimehesabu point ambazo polisi wamesimama barabarani.
Kuanzia Mianzini Arusha mpaka Njia Panda Himo, wameweka vituo 28. Arusha-Moshi wapo 19, Moshi-Himo wapo vituo 9.
Huko sio kwetu Sisi wenye magari yanayotembelea tumbo kama nyoka!Pori to pori , with [emoji200]View attachment 1695744
Pori to pori , with [emoji200]View attachment 1695744
Arrived safely.
Ilikuwa ni lazima iwe hivyo ili total pafikiwe chap kutokana na eneo tulilokuwepo.
Huko sio kwetu Sisi wenye magari yanayotembelea tumbo kama nyoka!
Halafu sijui kwanini barabara ya vumbi ukienda 50kph unahisi kama uko 120kph....ukiingia kwenye lami unashangaa gari haiendi!Mwambie dereva atoe hicho kitaulo hapo juu ya dashibodi 😜.
Barabara ya vumbi iliyonyooka naipenda maana unaweza kwenda speed 50.
RAV4 old model ndo 🐷...!? (Nimejaribu kuotea 😅)
Maisha ya kuigiza huku ndo kwenyewe sio?????😂😂Jf kila mtu ana gari wewe comment kama unalo
Kwenye njia mbovu nikiwa mbele yako utatukana matusi yote, nakwepa shimo moja moja taratiiibu.Acha woga baba Taibali, barabara imenyooka haina mashimo wala makorongo. Ni vumbi tuu hapo spidi 40 unatambaa 😅.
Au unaionea huruma DVA?
Sababu ya Korogesheni aahahahahahhaaaaHalafu sijui kwanini barabara ya vumbi ukienda 50kph unahisi kama uko 120kph....ukiingia kwenye lami unashangaa gari haiendi!