Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Niliwahi kutamani kununua Nissan Fuga ila shida ikawa pale kwenye dashboard ina maneno ya kijapan tupu.

Sijui kama kuna zenye kingereza.
 
Niliwahi kutamani kununua Nissan Fuga ila shida ikawa pale kwenye dashboard ina maneno ya kijapan tupu.

Sijui kama kuna zenye kingereza.
Yenye kiingereza hakuna labda uchukue Infiniti sasa from US, left hand drive though. Option nyingine niliona kuna warusi wanabadilisha infotainment yote inakuja ya kiingereza. Its a hardware change.

Honestly nimekaa nayo taratibu na google translate (instant camera mode) now I navigate the menus kama mjapani. Nimecrame positions za menu items [emoji23][emoji23][emoji23]

Plus nimesoma user manual ya infiniti m35 (ya fuga ni japanese only) since its basically the same car, I can say hakuna ninachokosa.
 
Barabara ya Mwanza - Geita pale asubuhi feri ya kwanza kuna bonge la ligi.

Alfajiri magari yanakusanyika... waliotoka Mwanza wanaonenda Geita, Katoro, Chato, Kagera. Yakishajaa yanaingia kwenye feri, ikitia nanga tu fungulia mbwa inaanza - ni kuonyeshana umwamba tu barabarani.



Huku ndio average speed za 100+ kmph zinapatikana

Translation
1. Running Time
2. Distance
3. Average speed
 
Hongereni sana kubahatisha ka Autobhan kenu huko. Huku Daresalama jau tu! Mataa kila mahali 😁😁😁
 
Dar njia tamu ni ile ya Mbezi Afrikana kwenda Mbweni tu kule ndio hamna uchawi wala mituta japo kuna kona kali mahali[emoji16]

Its the only place i enjoyed free runs!
Inawezekana part of the reason watu kuendesha kwa vurugu Dar is hawapati muda wa kufungulia speed so inawawasha. Mtu akishakaa 180 for an entire minute highway hamu ya kukimbia kimbia inamwisha anakuwa mstaarabu kwenye city driving.

Just my 2 cents
 
Hapo kila mtu anapamba afike saa 5 kwenye dashboard! Kipande kina urefu gani hicho?
Mpaka Geita (wanapoenda wengi) 60km but free run inaendelea. Tumeenda nayo more than 200km nikafika. Sijui mbele huko kama pana uchawi.


Kuna vijiji hapo katikati watu wanatembea pembezoni so unachill kiaina but viko far between. Road quality is good.
 
Inawezekana part of the reason watu kuendesha kwa vurugu Dar is hawapati muda wa kufungulia speed so inawawasha. Mtu akishakaa 180 for an entire minute highway hamu ya kukimbia kimbia inamwisha anakuwa mstaarabu kwenye city driving.

Just my 2 cents
Yah kwa Dar unakuta mtu ana gari jipya linamtia genye kweli, hajapiga long trips za kuitoa mafua.
Anajikuta anawashwawashwa,,,mi njia nayomaliziaga hasira hizo ni Mlimani city mpaka riverside!
 
Hahahah 200KM ni mkoa kwa mkoa hio kabisa 😂😂😂!!!

Hapo lazma mtunishiane vifua ila hata mie ningekalisha mapimbi kadhaa. Vanguard ilinifua last time 😁😁😁 yule boya alikuwa anaenda 150KPH
 
Hahahah 200KM ni mkoa kwa mkoa hio kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Hapo lazma mtunishiane vifua ila hata mie ningekalisha mapimbi kadhaa. Vanguard ilinifua last time [emoji16][emoji16][emoji16] yule boya alikuwa anaenda 150KPH
Mi niliwapa lift watu wawili wajuzi wa ile njia wanawahi kazini Geita, nikawaambia jamani mi ntatembea wakasema ndio safi wao jukumu lao kunijulisha matuta yanayofuata yalipo na road condition zinazofuata maana ni makonki wa ile road.

Tatizo hapakuwa na gari ya kutunishiana nayo. Jamaa mmoja alikuwa na harrier nilivyompita akaanza battle akanipita kwenye eneo la kijiji lenye matuta alikuwa anayafuta tu. Niliogopa wanafunzi aisee walikuwa wanatembea pembezoni so nikamuacha aende.

Abiria waliponijulisha bana vijiji vimeisha hapa mguu wako tu, nilimpita na 185 na hakuniona tena [emoji23][emoji23]

Sema wajapani washenzi sana kuweka hii electronic speed limiter kwenye 180. Kile kipande ingekuwa BMW au VW au Merc yenye 260+ angenihenyesha kumwacha kwenye sidemirror na si ajabu ningeachwa mimi
 
Hapo ndipo anapojifichia mjerumani😂😂😂 na kuondosha speed limit sababu ana autobhan! Kwake ujerumani ana barabara za ku support 300KPH+ ndio maana anafyatua gari zenye speedometer kubwa kuliko japan 😁!

Ila bila turbocharging anaachwa uchi mapema tu na mjapani 😂! Huwezi compare natural aspirated vs turbocharged engines.
 
Personally nimeobserve hii maneno last week usiku, J5 kuamkia Alhamisi si tukiwa na Subaru Forester XT 2.0 kuna mwamba alikua na Ipsum 2.4Ltr. Tuliburuzana buruzana nae hiki kipande cha kuanzia Sangasanga kuitafuta Doma alipoamua kufanya kazi sasa na kwenda zake daah alipepea mnooo hatukumuona tena, mbali na 'jiko' la chombo 'wehu' flani hivi wa dereva nao una nafasi kubwa kwenye matokeo. Dere wa Toyota Ipsum T...DFG salute kama upo humu nilikubali show yako
 
Hii speedlimiter ndio inaudhi ila hio engine ya Fuga inafika 260KPH bila shida. Hahahah Harrier ali risk sana, ile gari kwa ground clearance yake kuvuka 140KPH ni very risky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…