Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahah ipo siku nitajitoa ufahamu 😂😂😂 nitest kumaliza 180KPH maana limiter imewekwa kwenye 190KPH.
Shida ile speedometer yake ni ya digital
He he he kumaliza sahani sikushauri, lakini average ya 150 - 160Kph sio mbaya, vipo vipande vinaruhusu kabisa. Mafinga Makambako kuna vpande vimenyooka safi na wala hakuna matuta, Makambako - Igawa pia kuna vipande vimekaa safi na hata rasta zake sio za kukera unafukia na kutembea vizuri kabisa. Bado hapa Msolwa - Ubena - Mikese kuna vipande vinanoga sana kuuweka mguu kulia humo
 
Hivyo vipande labda usiku, ila kwa mida ya Yange Yange wa sirro utaumiza wallet.
 
Raha ya
Usiku ni hatari kukuimbia sana. Kimbia mchana eneo linaloruhusU

Usiku ni hatari kukuimbia sana. Kimbia mchana eneo linaloruhusiwa.
Raha ya usiku ni kumaintain 80 - 140Kph depending on condition ya barabara na kwa kujiongeza na kujiridhisha kuisigina michoro ya katazo la kuovateki if veri safe, sasa kwa mchana hivyo vyote ni vikwazo vya kufanya safari iwe ndeeeeefuuuu bila mpango.
 
Mchana napenda kuona vizuri. Usiku sipendi kutokuona mbali.
 
Safari ya Dar-Moro ukianza saa 2 kamili asubuhi Morogoro utafika saa 7 mchana.
Ila safari hio hio ukiianza saa 12 jioni unaweza fika morogoro saa 2 jioni!

Kuna tatizo kubwa la kucheleweshana kwenye safari za mchana bila sababu ndio maana tuna opt kutembea usiku.
 
Very true. Safari hii unaianza saa 11 asubuhi au mapema zaidi. Ikifika saa moja ushaiacha Dar na foleni zake.
 
Hahahah ipo siku nitajitoa ufahamu [emoji23][emoji23][emoji23] nitest kumaliza 180KPH maana limiter imewekwa kwenye 190KPH.

Shida ile speedometer yake ni ya digital kwahio huoni mwisho ila namba zinaongezeka tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ikifika around 185/190kph engine inakata, nilipiga na Crown. Engine unaisikia kabisa kama ina-cease.
Fuga inaacha tu kuaccelerate ila inatulia kwenye 190 fresh tu na wala abiria anaweza asijue akaendelea kupiga stori jinsi ilivyotulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…