Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Labda uwe barabara nyoofu sana. Kukata Semi 3 tu ni ishu! Lazma gari ikukute
Unakata kama engine kubwa, huwa mala nyingi sana nazipanga gari alafu nazifuta hatari, ila ndio ujue unatembelea 160 + wengine wajinga wakikuona nao wanavuta ili ukakutane na moto mbele yako.. kuna siku alimanusa uso kwa uso na Fuso.. ndio siku niliyojikubali kuwa naweza muendesha hata Rais 😀😀😀
 
Hio kamari siwezi icheza mzee, sitoi gari kama mbele hapako clear. Hio ya kutaka kuiwahi gari ya mbele gari inaweza kuslip gear ndio utajua hujui 😂😂😂 kitu kinavuma hakisogei mamaye! Hii ni kwa automatics Transmission fluid ikishapata moto sana!
Ishantokeaga nikasema imetosha im too young to Die at this age! Bahati gari ilikuwa mbali zaidi af chuma ni Scania pata picha nini kingenikuta. Wa pembeni akanilegezea nikachomeka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mixa kumpiga full nyingi sana kumsihi apooze umalizie kuovateki umpishe aendelee na njia yake, ukisharudi kwako unatwetaaa [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀😀😀 Babarani Mungu hutulinda, pia umakini na uzoefu. Yule kumaucha wa mwisho baada ya kuona kuna gari mbele akaweka mtima nyongo sijua alitaka nife..
 
Kummmk ilikuwa mchana siku hio, usiku ningebidi nibadilishe boxer kabisa maana nnya ingenitoka kwa mbali 😂😂😂!
 
Kummmk ilikuwa mchana siku hio, usiku ningebidi nibadilishe boxer kabisa maana nnya ingenitoka kwa mbali [emoji23][emoji23][emoji23]!
[emoji23][emoji23][emoji23] nakusoma, hata mchana si inabidi umpe ishara ya lights ikibidi ili anayekuja mbele akaushe na honi huyu wa kushoto kwako apooze kidogo upenye mbele yake mwendo mchibuyu, af hatukomagi mbele kidogo unaanza kuchungulia chungulia tena, daah

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ukishamaliza bunju hapo ni mkeka mwanzo mwisho mpaka msata.

Ila morogoro road mpaka mlandizi lazima ukute jam. Au mnyororo wa malorry. Au hata huko ruvu nako unaweza kula hali mbaya.
 
Hiyo safi.

Mi huwa sisimami kokote.

Mwanzo mwisho.
 
😀😀😀😀😀 Babarani Mungu hutulinda, pia umakini na uzoefu. Yule kumaucha wa mwisho baada ya kuona kuna gari mbele akaweka mtima nyongo sijua alitaka nife..
Hahahah wengine wanapigaga TAG tu ili ukafe vizuri maana ukiomba kurudi yeye anakaza mguu 😂😂😂 kmmmk walai!!!
Unaona kabisa naisha cha muhimu bora kunyunyuzia ujichomeke nyuma ya jamaa 😂😂😂
 
Lazma utie hazar na taa nyingi 😁😁😁!!!
Mambo ya kibwege kweli ila ndio sehem pekee inauaga sana vijana kuovertake kwenye blind spots ni jau!
 
Hahahah wengine wanapigaga TAG tu ili ukafe vizuri maana ukiomba kurudi yeye anakaza mguu 😂😂😂 kmmmk walai!!!
Unaona kabisa naisha cha muhimu bora kunyunyuzia ujichomeke nyuma ya jamaa 😂😂😂
Barabarani kuna watu wana roho mbaya sana, mwingine anakuletea kabisa moto, hajui mtu una wahi wapi.. nakumbuka ile picha hadi leo ilibaki mita chache viumane.. cha kushukuru gari ilikuwa na nguvu nilipeleka mguu paka kwisho ilitoka kama ndege nikashangaa nimetoka mdomoni mwa ziraeli
 
Hahahah mie huwa nachezaga na O/D button nikizima na kuwasha naikata lorry kama mshale! Chombo inapepea mpaka unaskia burudani 😂😂😂
 
Barabarani akili huwa za moto sana ndio shida inapo anzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…