Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Saa moja nataka inikute Msata, saa nne au tano niwe Moshi
Daah hadi nakuonea wivu aise! I love travelling more than anything haijalishi kwa chombo gani cha usafiri mie vyote huwa navifurahia tu hasa zile safari za kukaa muda mrefu njiani!

Kuna wakati hadi huwa natamani nipate kazi ambayo itanilazimu kusafiri mara kwa mara! Hii ndiyo sababu nawaonea sana wivu watu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya usafiri vinavyoenda masafa marefu iwe ni ndege, meli, treni au gari (hasa hasa meli na treni)!
 
Omba kazi ya udereva Halmashauri
 
Kusafiri Raha sana...ukitaka kuona mandhari road trip ndio yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…