Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukutane Mbweni saa 1 asubuhiNdio tarehe na route yangu hio
Ila DVA mbona imepita kitamboTukutane Mbweni saa 1 asubuhi
Chief saa 1 msata saa 5 Moshi? Utawatajirisha trafiki. Tochi Kama zote hiyo njia (hasa ukiingia mkoa wa Tanga).Saa moja nataka inikute Msata, saa nne au tano niwe Moshi
Unatumia Gari gan?50kph zone naenda 50kph....ikiisha najiachia anyway aim yangu kubwa niachane na mji asubuhi kabla watu hawajaamka
RAV4. Wife, watoto 3 na dada wa kazi. Na masanduku yetu. Nothing less nothing more. Dar-Moshi (masaa 16)Wewe utatumia gari gani?
Daah hadi nakuonea wivu aise! I love travelling more than anything haijalishi kwa chombo gani cha usafiri mie vyote huwa navifurahia tu hasa zile safari za kukaa muda mrefu njiani!Saa moja nataka inikute Msata, saa nne au tano niwe Moshi
Omba kazi ya udereva HalmashauriDaah hadi nakuonea wivu aise! I love travelling more than anything haijalishi kwa chombo gani cha usafiri mie vyote huwa navifurahia tu!
Kuna wakati hadi huwa natamani nipate kazi ambayo itanilazimu kusafiri mara kwa mara! Hii ndiyo sababu nawaonea sana wivu madereva wa vyombo vyovyote vya usafiri vinavyoenda masafa marefu iwe ni ndege, meli, treni au gari!
Hahaha udereva wa nini mkuu? Mabasi siyo priority sana Mie napenda sana Meli aise!Omba kazi ya udereva Halmashauri
Kusafiri Raha sana...ukitaka kuona mandhari road trip ndio yenyeweDaah hadi nakuonea wivu aise! I love travelling more than anything haijalishi kwa chombo gani cha usafiri mie vyote huwa navifurahia tu hasa zile safari za kukaa muda mrefu njiani!
Kuna wakati hadi huwa natamani nipate kazi ambayo itanilazimu kusafiri mara kwa mara! Hii ndiyo sababu nawaonea sana wivu watu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya usafiri vinavyoenda masafa marefu iwe ni ndege, meli, treni au gari (hasa hasa meli na treni)!
Trouble upo? Yule mtoto wako pasua kichwa yupo?
Injili inasonga mbereeeeeeeMweeh!! Mie na trouble wapi na wapi[emoji2369][emoji2369]
Yupo kajaa tele, kaolewa na mchungaji wako huko duniani wanasambaza injili.
Sasa hiyo trip yenu hamuhitaji wa kuwasindikiza?
Sent using Jamii Forums mobile app