Kaskazini,Kusini,mashariki,magharibi ni uelekeo sio altitude. Mfano mtu wa Mbeya akiwa anaenda Kaskazini ina maana atakuwa anashuka.Ndio maana Kusini ya Iringa, Mbeya, Njombe ni eneo la (Nyanda za Juu) hapo ndipo habari ya muinuko kutoka usawa wa bahari inapowatofautisha na kusini ya Lindi na Mtwara walio karibu na usawa wa bahari
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Nimekusoma Kaka, imetokea tu kwa bahati mikoa iliyopo kaskazini kwa case ya nchi yetu ipo katika high altitude but eneo la 'nyanda za juu' lina uhusiano wa moja kwa moja na altitudeKaskazini,Kusini,mashariki,magharibi ni uelekeo sio altitude. Mfano mtu wa Mbeya akiwa anaenda Kaskazini ina maana atakuwa anashuka.
Yeah ni kweli. Kwa alama za E/w na N/S mshale wa juu ni N chini ni S. Kulia E,kushoto W ndio maana watu wana refer kaskazini juu,kusini chini lakini kotekote kunaweza kuwa juu au chini.Nimekusoma Kaka, imetokea tu kwa bahati mikoa iliyopo kaskazini kwa case ya nchi yetu ipo katika high altitude but eneo la 'nyanda za juu' lina uhusiano wa moja kwa moja na altitude
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Naamm, sahihi kabisa.Yeah ni kweli. Kwa alama za E/w na N/S mshale wa juu ni N chini ni S. Kulia E,kushoto W ndio maana watu wana refer kaskazini juu,kusini chini lakini kotekote kunaweza kuwa juu au chini.
Hivi mwanza nako unapanda?Nimekusoma Kaka, imetokea tu kwa bahati mikoa iliyopo kaskazini kwa case ya nchi yetu ipo katika high altitude but eneo la 'nyanda za juu' lina uhusiano wa moja kwa moja na altitude
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Pengine jamaa kufikiria ile ‘north direction’ kwenye compass kwa sababu ina point juu basi ni kupanda na kusini ni kushuka 🤣Mh mbona Iringa,Mbeya ni kusini lakini unapanda?! Kaskazini haina maana ni juu. Juu kunaweza kuwa upande wowote ule kaskazini,kusini,magharibi,mashariki.
WHAT THE MIND DOESN'T KNOW, THE EYE WILL NOT SEE.Pengine jamaa kufikiria ile ‘north direction’ kwenye compass kwa sababu ina point juu basi ni kupanda na kusini ni kushuka [emoji1787]
Usiwe emotional unaposahihishwa. Kuhusu kupanda au kushuka na kula mafuta hamna asiejua ila tunaweka sawa tu sehemu kuwa North haina maana ni juu au kuwa south haina maana kuwa iko chini ki- altitude.WHAT THE MIND DOESN'T KNOW, THE EYE WILL NOT SEE.
MADA YA MSINGI NI ULAJI WA MAFUTA KATIKA KUPANDA NA KUSHUKA KWA MAZINGIRA YA BARABARA.
Hii nchi uwe makini sana unapoongea maana kuna watu huwa wanasubiri mtu aongee ili na yeye apate cha kumsemea au kumpinga maana wengi wao wamejazwa na Fikra za Negativity always. Pole yao!!
Take it easy mazee! Life is too short to overthink on such wee issues!WHAT THE MIND DOESN'T KNOW, THE EYE WILL NOT SEE.
MADA YA MSINGI NI ULAJI WA MAFUTA KATIKA KUPANDA NA KUSHUKA KWA MAZINGIRA YA BARABARA.
Hii nchi uwe makini sana unapoongea maana kuna watu huwa wanasubiri mtu aongee ili na yeye apate cha kumsemea au kumpinga maana wengi wao wamejazwa na Fikra za Negativity always. Pole yao!!
From Dar yes.Hivi mwanza nako unapanda?
Mkuu hichi ulichojibu ni mfano halisia wa negativity.The positive side of it ni kwamba mwenzako alikuwa anajaribu kukuelekeza jibu sahihi ili at the end upate maarifa kamili na kuwa mwanga kwa wengine 🙂 🙂WHAT THE MIND DOESN'T KNOW, THE EYE WILL NOT SEE.
MADA YA MSINGI NI ULAJI WA MAFUTA KATIKA KUPANDA NA KUSHUKA KWA MAZINGIRA YA BARABARA.
Hii nchi uwe makini sana unapoongea maana kuna watu huwa wanasubiri mtu aongee ili na yeye apate cha kumsemea au kumpinga maana wengi wao wamejazwa na Fikra za Negativity always. Pole yao!!
Polisi labda uone hawana alternative ya usafiri sio wamepaki Cruiser lao we unajifanya kuwakimbia 😂😂😂 wakikuungia ni msala!
Duh POLISI hawakimbiwi hasa kwa madereva wa kila sikuUpo sahihi, Cruiser hakuna kitu. Nimeshuhudia kwa macho yangu walipiga gari mkono, jamaa akapitiliza, wakaliamsha, na wakarudi hoi.. naona jamaa aliwapasua mapafu huko mbeleni wakaona isiwe tabu. Kukimbia trafic sio busara huwezo jua.. unaweza kimbia ukapata la kupata ukawa na vime plus
Hata mm hao wa Barrier kwa usiku nawapenda sana, kwa njia ya Moro Dom, kuna kabla ya Dakawa, Dumila, Makalavati yaani wanakwambia kabisa huko ulikotoka vipi salama? unawaelezea tu barabara ni shwariWale wa barrier usiku watamu sana aisee, waweza kuwa umetoka zako huko kibatiiii chombo inavumaaa wanakupiga tochi pwaa pwaa pwaa ili usimame, unapoza chombo unasimama ukiwafikia salamu tu washa taa za ndani kukagua kawaida tu kama kuna sehemu kuna kicheche wanakwambia la wanakuasa tu mdo mdo, kibatiiii Mzee. Safari usiku raha sana
Trafic wa singida ogopa wa pale mizani.. 😀😀😀😀😀. Wengine ( vituo vingine wapo fair ). Ila jao wa mizani naona wana lalamikiwa na madereva wengi kuanzia gari ndogo hadi za mizigoDuh POLISI hawakimbiwi hasa kwa madereva wa kila siku
Niliwakimbia Traffic Singida kuelekea Manyoni, kuna kona moja akatokeza porini jamaa ana camera akanipiga mkono kumbe bado nipo Mji wa Singida, nikampuuza. akapiga simu Ikungi ni kawilaya kadogo kapo mbele, duh nikaona malori ya mbele yangu yamesimamishwa na mm pia, wakataka leseni yangu nikawapa
Wakaniambia shuka usikilize mashtaka, eti nirudi Singida nimemkimbia Traffic, nilibisha wakaniambia park hapo Kituoni mpaka utakapoenda Mahakamani.
Nipo na familia na cent ndio imebaki 19,000/ walinipukutisha zote
sirudii kuwakimbia hawa jamaa, wanaambiana kwa simu za kawaida na wala hawakufukuzi, anaweza kukuambia washa wiper, kumbe anakuvuta
Nilisha lala porini, pale minalani.. ukiwa kama unaiacha dumila.. palinogaHata mm hao wa Barrier kwa usiku nawapenda sana, kwa njia ya Moro Dom, kuna kabla ya Dakawa, Dumila, Makalavati yaani wanakwambia kabisa huko ulikotoka vipi salama? unawaelezea tu barabara ni shwari
Na wewe unawaelezea ya upande unaokoelekea wanakwambia gari zinashuka salama tu zingekwama hata nusu saa wanataarifiana, ndio maana usiku ni salama, sema breakdown ndio noma km itakukuta
Salute you Man, RespectEngine zote za Inline form factor ni rahisi kuzi mod tofauti na za V- Form factor!
Polisi wa barrier wao wanakagua magendo zaidi hasa usiku.Sina gari,lakini mara nyingi htwa napenda kusafir na private cars at malori.trafiki wa usiku kwenye barrier wanakupa fair sana kuliko wa mchana.kuna siku nilipanda gari ya maji safi(hill water) tulipofika pale dumila jamaa kapigwa tochi akasimama.yule askari alipoona tumekaa watatu akaomba kadi ya gari.aliposoma akaona kadi inaruhusu kukaa watatu mbele akampa jamaa kadi yake na akaturuhusu.jamaa hakumpa chochote.