Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Kwa watoto wa kinyaturu 🙂🙂Singidani Kwa Mabaali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa watoto wa kinyaturu 🙂🙂Singidani Kwa Mabaali
Upuuzi huu. Tunavumilia dhahma za ujenzi halafu unatoka mkeka poor qualityHiyo lami sio mpya sanaaa, ila ina mashimo kama mashimo ya taka. Hiyo ni Singidani
Naam. Naam. Naam. Hizo ni 1000km kwahiyo umekidhi vigezo.Hapana sio member wa Iron Butt, halafu hapa nilipo hakuna mtu mwenye mashine kama yangu kwa hiyo uwa nikaamua kuitembeza,natembea pekee yangu. Umbali mrefu niliowahi kusafiri ilikuwa Dar - Mwanza, kama mara tatu hivi. Kama hakuna mvua na upepo mkali nikiondoka asubuhi kabla jua halijazama nakuwa nimefika upande wa pili
Hahaha Nakubaliii SanaKwa watoto wa kinyaturu 🙂🙂
Hapana sio member wa Iron Butt, halafu hapa nilipo hakuna mtu mwenye mashine kama yangu kwa hiyo uwa nikaamua kuitembeza,natembea pekee yangu. Umbali mrefu niliowahi kusafiri ilikuwa Dar - Mwanza, kama mara tatu hivi. Kama hakuna mvua na upepo mkali nikiondoka asubuhi kabla jua halijazama nakuwa nimefika upande wa pili
Naam. Naam. Naam. Hizo ni 1000km kwahiyo umekidhi vigezo.
Umbali mrefu niliowahi kutembea na bike ni Dar-Dom-Dar. Nilitoka saa 12, saa 2 usiku napata dinner Dar.
Keep the shiny side up!
TVS Apache RTR 160Mkuu ulitumia bike gani?
Hii uhakika kabisa. Nunua helmet nzuri 150k kwa Saidi Kariakoo... gloves, leather jacket na boots. Ukiwa protected from upepo, jua, mvua trip za bike ni tamu mno. Kiaminu chombo, kinaweza. Wewe tuUlitisha mkuu, ni bike gani hiyo?
Mi nataka kujaribu kufanya adventure kwenda bukoba na HONDA BAJA cc250.
BMWMkuu ulitumia bike gani?
Huko Bukoba utazikuta bmw nyingi, niliwahi kufika kuna Mhindi anazo 4 garageUlitisha mkuu, ni bike gani hiyo?
Mi nataka kujaribu kufanya adventure kwenda bukoba na HONDA BAJA cc250.
Pascal pikipiki ilimfanya vibaya njia hioNaam. Naam. Naam. Hizo ni 1000km kwahiyo umekidhi vigezo.
Umbali mrefu niliowahi kutembea na bike ni Dar-Dom-Dar. Nilitoka saa 12, saa 2 usiku napata dinner Dar.
Keep the shiny side up!
Barabara nzuri kupimana ni Mombo-SameI wish tungeweka ligi, ila ilikuwa barabara ya kuitafuta Moshi kutokea Arusha mida ya jioni - huwezi kufanya ligi. Nilifanya kumfuata tu nyuma ku admire gari yake.
Palikuwa na black sedans mbili zinafuatana, akitoa natoa. Traffic walikuwa wanatukata jicho aloo...
Visafari huwa vina raha yakeNice view