Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ana nyuzi nyingi sana, nimeshindwa kuutafuta.

 
Petrol.

Naenda taratibu, naacha ichanganye yenyewe japo inachukua muda kidogo.

Na average speed ilikuwa 125kph.

Nimetumia arround lita 45 dar - arusha.
You know what it takes to get 125kph as average speed?!! Watu tunatembea mpaka 180kph, sehemu nyingi unatembea 140kph ila unaishia average speed 80-100kph. Wewe umepata average speed 125kph na rpm isizidi 2000?
Hebu weka sawa kidogo.
 

Kiliumana pakubwa!
 
Petrol.

Naenda taratibu, naacha ichanganye yenyewe japo inachukua muda kidogo.

Na average speed ilikuwa 125kph.

Nimetumia arround lita 45 dar - arusha.
Average speed au unamaanisha top crusing speed?
Screenshot_20210321-212445_WhatsApp.jpg


Nilishawahi kupata average ya 134kmph... on a 100km stretch. Nilimwaga moto vibaya mno, in fact nilikuwa nacruise at 180kmph for the most part. Rpm zilikuwa 3000+

Tudadavulie mkuu maana the math doesn't add up. Kupata hiyo average bila kuvuka 2000rpm for a petrol engine inabidi tukuweke kwenye guiness world book of records for hypermiling!
 
Back
Top Bottom