Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

You know what it takes to get 125kph as average speed?!! Watu tunatembea mpaka 180kph, sehemu nyingi unatembea 140kph ila unaishia average speed 80-100kph. Wewe umepata average speed 125kph na rpm isizidi 2000?
Hebu weka sawa kidogo.
Labda niiweke hivi.

Top speed ndo hiyo.

Kuna vipande vyenye long stretch kama mombo - same nimetembea km zote 116 na hiyo 125kph constant.
 
Getting back home.

Location: Msata.
20210322_183217.jpg
 
Okay hapo nimekupata na mwendo huo unapata miles per gallon nyingi.
Kuna jambo nilikuwa najaribu safari hii.

Nilijaza mafuta mcity full siku ya kuondoka, nikabaki na mafuta mengi yalionitosha kurudi, kwenda kibosho kupiga misele.

Nikajaza pale moshi mjini wakati wa kurudi dar.

Jumla nilitembea km 754 na tank 1.
 
Tank yako inameza lita ngapi?
 
Back
Top Bottom