Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Oohh SawaHapana. It feels natural kama sehemu ya mwili wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oohh SawaHapana. It feels natural kama sehemu ya mwili wako
Labda niiweke hivi.You know what it takes to get 125kph as average speed?!! Watu tunatembea mpaka 180kph, sehemu nyingi unatembea 140kph ila unaishia average speed 80-100kph. Wewe umepata average speed 125kph na rpm isizidi 2000?
Hebu weka sawa kidogo.
Sawasawa. Sema dah una uvumilivu sana. Why did you do that mzee? Ulikua na pisi mnapiga stori hutaki mfike ama?Labda niiweke hivi.
Top speed ndo hiyo.
Kuna vipande vyenye long stretch kama mombo - same nimetembea km zote 116 na hiyo 125kph constant.
Sometime nawekaga snow mode gari ipunguze throttle response na ibadili gia mapema. Kweli kmpl zinapanda ila inanishindaga, natoa mwenyewe [emoji23][emoji23] naona kama naendesha kifaruHa h aha jamaa mvumilivu sana...mimi huwa uzalendo unanishinda
Unaicheleweshaje pisi asee 😀😀.. ikiwamo pisi ni mwendo wa 140 + , ili tuwahi kufika tufanye yetu.. ila kama unaipanga hapo sawa.. ni mwendo wa 50 -Sawasawa. Sema dah una uvumilivu sana. Why did you do that mzee? Ulikua na pisi mnapiga stori hutaki mfike ama?
Naam hii ndio itifakiUnaicheleweshaje pisi asee [emoji3][emoji3].. ikiwamo pisi ni mwendo wa 140 + , ili tuwahi kufika tufanye yetu.. ila kama unaipanga hapo sawa.. ni mwendo wa 50 -
Petrol.
Naenda taratibu, naacha ichanganye yenyewe japo inachukua muda kidogo.
Na average speed ilikuwa 125kph.
Nimetumia arround lita 45 dar - arusha.
Top speed yangu ilikuwa 128kph... ubena zomozi hills. 160 siipatii picha!!!
TVS Apache cc160Bike gani?
Nikiwa na familia sizidishi 125kph.Sawasawa. Sema dah una uvumilivu sana. Why did you do that mzee? Ulikua na pisi mnapiga stori hutaki mfike ama?
Kuna jambo nilikuwa najaribu safari hii.Okay hapo nimekupata na mwendo huo unapata miles per gallon nyingi.
Tank yako inameza lita ngapi?Kuna jambo nilikuwa najaribu safari hii.
Nilijaza mafuta mcity full siku ya kuondoka, nikabaki na mafuta mengi yalionitosha kurudi, kwenda kibosho kupiga misele.
Nikajaza pale moshi mjini wakati wa kurudi dar.
Jumla nilitembea km 754 na tank 1.
65Tank yako inameza lita ngapi?
Kuna SUV za aina nyingi. Labda ulikuwa unamaanisha ipi?SUV ina tank dogo hivyo!