kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Ana nyuzi nyingi sana, nimeshindwa kuutafuta.
Pascal Mayalla apata ajali.....
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma. Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu...
Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
Wana Forum, Salaam. Naombeni kutoa waraka wangu huu wa Shukrani kupitia Jamii Forums kwa Sababu ni Jamii furum hii ndio iliowajulisha wengi kuhusiana na ajali yangu ndipo namimi nilipoijua hivyo nishukuru sana jamiiforums na natoa shukrani zangu mbalimbali. Leo 3/08/09 umetimia mwaka mmoja...