Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hapana sio member wa Iron Butt, halafu hapa nilipo hakuna mtu mwenye mashine kama yangu kwa hiyo uwa nikaamua kuitembeza,natembea pekee yangu. Umbali mrefu niliowahi kusafiri ilikuwa Dar - Mwanza, kama mara tatu hivi. Kama hakuna mvua na upepo mkali nikiondoka asubuhi kabla jua halijazama nakuwa nimefika upande wa pili
Naam. Naam. Naam. Hizo ni 1000km kwahiyo umekidhi vigezo.

Umbali mrefu niliowahi kutembea na bike ni Dar-Dom-Dar. Nilitoka saa 12, saa 2 usiku napata dinner Dar.

Keep the shiny side up!
 
Was a nice road trip.

Dar to Arusha.

Location: Kikafu.
20210319_180531.jpg
 
Hapana sio member wa Iron Butt, halafu hapa nilipo hakuna mtu mwenye mashine kama yangu kwa hiyo uwa nikaamua kuitembeza,natembea pekee yangu. Umbali mrefu niliowahi kusafiri ilikuwa Dar - Mwanza, kama mara tatu hivi. Kama hakuna mvua na upepo mkali nikiondoka asubuhi kabla jua halijazama nakuwa nimefika upande wa pili

Mkuu ulitumia bike gani?
 
Ulitisha mkuu, ni bike gani hiyo?

Mi nataka kujaribu kufanya adventure kwenda bukoba na HONDA BAJA cc250.
Hii uhakika kabisa. Nunua helmet nzuri 150k kwa Saidi Kariakoo... gloves, leather jacket na boots. Ukiwa protected from upepo, jua, mvua trip za bike ni tamu mno. Kiaminu chombo, kinaweza. Wewe tu
 
I wish tungeweka ligi, ila ilikuwa barabara ya kuitafuta Moshi kutokea Arusha mida ya jioni - huwezi kufanya ligi. Nilifanya kumfuata tu nyuma ku admire gari yake.

Palikuwa na black sedans mbili zinafuatana, akitoa natoa. Traffic walikuwa wanatukata jicho aloo...
Barabara nzuri kupimana ni Mombo-Same
 
Back
Top Bottom