t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Siku hizi kuna usalama last time nilikuwa huko ilikuwa 2008Niambie kuhusu angola.
Usalama wake upoje?
Ila ni most expensive destination kwa africa naweza kusema .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi kuna usalama last time nilikuwa huko ilikuwa 2008Niambie kuhusu angola.
Usalama wake upoje?
Ok nimekuosoma , Ila kama anataka kuinjoi south aachane na njia ya bloemfontein kutoka cape town.Yeye jamaa anataka kupita baadhi ya miji kwa madiba.
Ndo maana akitoka windhoek anaenda capetown, kuna kamji kingine kule chini. Na lazima apite durban akaone bandari yao ndo aendelee na safari.
It's all about enjoying.
Mozambique na Angola shares one thing in common , language barrier .hakuna english !Kuna sehemu niliwahi soma kuhusu ukatili wa askari wa kule.
Ukweli upoje?
Mizigo ya namna hii, popote kambiView attachment 1741074View attachment 1741075View attachment 1741076Naweza ona picha yake?
Aisee.Waasi wapo chini huku kwenye silicon diamond na uranium, kule juu sijafika ila naambiwa kuna amani kidogo
Kongo yote imegubikwa na umasikini wa hali ya juu
Nilimshauri asipite Angola kabisa kuhofia usalama.Siku hizi kuna usalama last time nilikuwa huko ilikuwa 2008
Ila ni most expensive destination kwa africa naweza kusema .
Dah. Shida inakuja hapo.Mozambique na Angola shares one thing in common , language barrier .hakuna english
Wakati napita mozambique ulikuwa ni wakati ule tunatumia visa kuingia kwao , tabu kubwa ilikuwa ni kujieleza kwa maaskari au immigration officers njiani. Baada yao madini kuwatajirisha sana wabongo ndipo chuki dhidi yetu ikalipuka,
Siku hizi nasikia kuna ukatili sana
Kumbe ni hizi za camping.? Sijui kama itamfaa.Mizigo ya namna hii, popote kambiView attachment 1741074View attachment 1741075View attachment 1741076View attachment 1741077
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hapo si itabidi upite Cabo Delgado? Nafikiri hapafai huko kwa sasa.Wakati wa kurudi anapita Mozambique mpaka Mtwara.
S. Africa nayo naiona sio salama sana toka enzi za Xenophobia.
Hiyo ni muafaka pia, maana hakuna mashaka ya mafua njiani chombo mang'anu. Mchawi security kutegemea na njia atakayopita na 'mwarabu' tu. Madere wanakua wangapi safarini humo?Kumbe ni hizi za camping.? Sijui kama itamfaa.
Yeye ana Prado yake VX ya 2019.
Ndo anataka kuitumia hiyo.
Yupo peke yake.Hiyo ni muafaka pia, maana hakuna mashaka ya mafua njiani chombo mang'anu. Mchawi security kutegemea na njia atakayopita na 'mwarabu' tu. Madere wanakua wangapi safarini humo?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kuwa walau wawili I find it njema zaidi on safety point of view n.k Challenge za safarini sio breakdown peke yake. Vinginevyo kila la heri kwake, let him explore the beautiness of the continentYupo peke yake.
Ndo maana anachukua zaidi ya mwezi.
Kwa siku hatembei zaidi ya 500km.
Duh trip yote hiyo pekeyake!Yupo peke yake.
Ndo maana anachukua zaidi ya mwezi.
Kwa siku hatembei zaidi ya 500km.
For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.Duh trip yote hiyo pekeyake!
For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
Mimi nakiachia [emoji100]vizuri kabisa hiyo najisi nikae nayo tumboni ya nini.Mkiwa wawili au zaidi kwny gari hata kujamba kwa kujiachia ni shughuli pevu mwishowe ujibanie ulijaze tumbo mifuzi bure.
Mimi nakiachia [emoji100]vizuri kabisa hiyo najisi nikae nayo tumboni ya nini.
[emoji1][emoji1][emoji1]Hapo ni kweli kabisa,nikiwag nafanya staff zangu sipendagi ujinga kabisa.Hahah noma uko na watu humo garini,halafu ukishapiga kijambo utaona tu watu kimya mwingine anaongeza A/c bila kujua hapo ndipo anaharibu kabisa,mwingine atafungua dirisha mdogo mdogo tu mpk hapo unajua tu tayari mambo ni moto.
Ngoja nikaoshe baiskeli yangu [emoji1]Hapo ndo huwa nakupenda Taibali.
Tupige trip ambayo sio ya kuchosha (isiwe ndefu sana) ili tufurahie mazingira pia. Tukirudi tuna kandana (massage) kuondoa uchovu wa mikono, mabega na shingo.
Kama daraja/barabara ya Saadani Pangani imekamilika, tupange kwenda Tanga ila tunapita Saadani Parks kisha tunatokea geti la kuelekea Pangani hapo tunaenda Tanga tunaambaa na upepo wa bahari kisha tunarudi via wami msata kisha kiotani [emoji12].
Just the two of us [emoji6].
View attachment 1718216
Snacks ntakuwa nazo za aina zote [emoji39][emoji39].