Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Usiisahau hii plan mkuu
Well. Asante kwa kunikumbusha.

Dar - Tunduma 917km

Tunduma - Likasi (DRC) 1039km

Likasi - Kinshasa 2163km

Kinshasa - Luanda 810km

Luanda - Lusaka 2271km

Lusaka - Harare 495km

Harare - Gaborone 1065km

Gaborone - Windhoek 1091km

Windhoek - Capetown 1479km

Cape Town - Gqeberha 751km

Gqberha - Bloemfontein 658km

Bloemfonein - Maseru 143km

Maseru - Durban 553km

Durban - J'burg 568km

J'burg - Pretoria 68km

Pretoria - Mbabane 334km

Mbabane - Maputo 218km

Maputo - Beira 1215km

Beira - Quelimane 482km

Quelimane - Lilongwe 725km

Lilongwe - Mbeya 733km

Mbeya - Songea 464km

Songea - Mtwara 653km

Mtwara - DSM 565km

Kutokana na google map anatembea almost 19,459 km.

Cc RRONDO
 
He needs a brand new car or nearly new!
 
Yote ni mkeka ama kuna ambapo ni poda? Hivyo vipande vya DRC, road condition na safety miji ukatizayo? [emoji848]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Yote ni mkeka ama kuna ambapo ni poda? Hivyo vipande vya DRC, road condition na safety miji ukatizayo? [emoji848]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Anafanya research hasa kuhusu usalama.

DRC, Angola na Mozambique ndo yupo concerned sana.

Hata mitandaoni wanasema vibaya kuhusu hizo nchi.

Labda madereva wa trucks waje watupe uzoefu wao na hizo nchi.

t blj
 
Okay. All in all ukiwa na perfect SUV kama zile cruisers wanazosuka jamaa wa Namibia wale, this is the experience worth going through.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Well. Asante kwa kunikumbusha.

Dar - Tunduma 917km

Tunduma - Likasi (DRC) 1039km

Likasi - Kinshasa 2163km

Kinshasa - Luanda 810km

Luanda - Lusaka 2271km

Lusaka - Harare 495km

Harare - Gaborone 1065km

Gaborone - Windhoek 1091km

Windhoek - Capetown 1479km

Cape Town - Gqeberha 751km

Gqberha - Bloemfontein 658km

Bloemfonein - Maseru 143km

Maseru - Durban 553km

Durban - J'burg 568km

J'burg - Pretoria 68km

Pretoria - Mbabane 334km

Mbabane - Maputo 218km

Maputo - Beira 1215km

Beira - Quelimane 482km

Quelimane - Lilongwe 725km

Lilongwe - Mbeya 733km

Mbeya - Songea 464km

Songea - Mtwara 653km

Mtwara - DSM 565km

Kutokana na google map anatembea almost 19,459 km.

Cc RRONDO

Doh ila kuna route nyingine ni almost impossible au zitakuwa mzunguko
Mfano kwa nini atoke mbeya kwenda mtwara badala ya kunyoosha kuja dar ?
Kutoka bloemfontein kwenda maseru pia , hakuna haja ya kurudi hadi durban, unapandisha tu jorburg . Hakuna haja pia ya kwenda pretoria kama plan ni kwenda maputo , unakatisha tu pale pale jo burg some good 560 kms to boader
Big up kwa plan nzuri , but very expensive hobby kuzunguka sadc countries at once , itahitaji gari nzima nzuri , most probably iwe 4x4 hasa kwa njia za Kongo na Angola
 
Anafanya research hasa kuhusu usalama.

DRC, Angola na Mozambique ndo yupo concerned sana.

Hata mitandaoni wanasema vibaya kuhusu hizo nchi.

Labda madereva wa trucks waje watupe uzoefu wao na hizo nchi.

t blj
Kongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.
 
Okay. All in all ukiwa na perfect SUV kama zile cruisers wanazosuka jamaa wa Namibia wale, this is the experience worth going through.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Haswaaaa
Hizo gari ndo mahala pake kwa safari hizo , zita kulimit kwenye speed though kwa wale wazee wa kumaliza kisahani sio stable sana kwenye high speed .ingawaje safari kama hizo za kuinjoi huhitaji kukimbia, 100 km/h inatosha sana
 
Mozambique anaweza kupita nyamapanda boarder ya zimbabwe kupitia tete hadi mwanza boarder ya malawi ni salama kipande hicho na kifupi tu , some good 300kms. Ila akitaka kupita kuanzia maputo to mtwara hapo kuna shida .
Kuna sehemu niliwahi soma kuhusu ukatili wa askari wa kule.

Ukweli upoje?
 
Doh ila kuna route nyingine ni almost impossible au zitakuwa mzunguko
Mfano kwa nini atoke mbeya kwenda mtwara badala ya kunyoosha kuja dar ?
Kutoka bloemfontein kwenda maseru pia , hakuna haja ya kurudi hadi durban, unapandisha tu jorburg . Hakuna haja pia ya kwenda pretoria kama plan ni kwenda maputo , unakatisha tu pale pale jo burg some good 560 kms to boader
Big up kwa plan nzuri , but very expensive hobby kuzunguka sadc countries at once , itahitaji gari nzima nzuri , most probably iwe 4x4 hasa kwa njia za Kongo na Angola
Yeye jamaa anataka kupita baadhi ya miji kwa madiba.

Ndo maana akitoka windhoek anaenda capetown, kuna kamji kingine kule chini. Na lazima apite durban akaone bandari yao ndo aendelee na safari.

It's all about enjoying.
 
Kongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.
Hivi Congo yenye waasi ni ya kule juu au hadi huku chini?
 
Kongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.
Niambie kuhusu angola.

Usalama wake upoje?
 
Back
Top Bottom