Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
Kwa mimi kwa safari ya zaidi ya km 200 napenda niwe na mtu mwingine hata kama hataendesha awepo tu.
 
For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
Binafsi napenda kutembea peke angu.

Nitaenda hiyo safari akirudi salama na kunipa experience yake.
 
For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
I second you
 
IMG_7724.JPG

Kuna mwamba humu niliona alijipa zoezi la kutembea na RPM Mwanzo mwisho wa safari, nimejaribu japo sio kinyonge sana mwishoni uvumilivu ulinishida. Mwarabu baada ya trip najua amenuna huko
 
Plan
Dah upo vizuri mkuu, hakika usingizi lazima utakua ulikukomesha.
Hapo utakua ulikua unasikia nyuki muda wote.
Mimi sitaki stress na siku kama 4 za safari.
Day1: 450 KM
Day2: 380 KM
Day3: 600 KM
Day4: 450 KM
Reality
Day1 (Ijumaa): 830 KM, mob phycology ni mbaya sana.
Nimesimamishwa na police mara mbili, wa kwanza alitaka tu kusalimia (hakuomba leseni wala chochote), wa pili ni over speed (95 KM/H), hawa ni wadada niliwapamba wakaambulia maneno tu.
Fuzo
Kama umeamua kufuata mabango ya speed limit hakikisha unaanza kuongeza speed baada ya kulipita bango la kuruhusu na sio mita chache baada ya kuliona
 
Yange yange wasipokuwepo kawaida sana..
Pasaka ikiisha J4 nageuka mwendo mdundo
Yange yange.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaboa sana ila wanasaidia....miaka hii hatushuhudii ajali za mabasi za kutisha kama miaka ileeee ya kina Ngorika..
 
Yange yange.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaboa sana ila wanasaidia....miaka hii hatushuhudii ajali za mabasi za kutisha kama miaka ileeee ya kina Ngorika..
Ngorika!
lile dude halikuwahi kupata ajali asee, mwendo mdundo Dar -Ara 6hrs limemaliza mchezo
 
Back
Top Bottom