Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mimi kwa safari ya zaidi ya km 200 napenda niwe na mtu mwingine hata kama hataendesha awepo tu.For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
Binafsi napenda kutembea peke angu.For some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
Ni vyema sana kuwa na kampani, unless imekua ni dharura na unalazimika kusafiri mwenyewe kwa haraka.Kwa mimi kwa safari ya zaidi ya km 200 napenda niwe na mtu mwingine hata kama hataendesha awepo tu.
I second youFor some reasons hata mimi napenda kutembea peke yangu, concentration inakuwa kubwa sana na nakuwa huru kufanya mambo yangu bila kumsumbua mtu , naweza hata nikaona mti tulivu wenye kivuli nikaamua nipumzike hapo kwa masaa kadhaa kabla sijaendelea na safari.
It takes lot of commitment though .
Wapi hiyo mkuuWakuu leo napiga Easter break road trip...picha leo ngumu tuko group
Aisee....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]una hatari wewe160/180 kph
Leo njia/barabara ilikuwa bikra
Elewa hivyo
Yange yange wasipokuwepo kawaida sana..Aisee....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]una hatari wewe
RealityDah upo vizuri mkuu, hakika usingizi lazima utakua ulikukomesha.
Hapo utakua ulikua unasikia nyuki muda wote.
Mimi sitaki stress na siku kama 4 za safari.
Day1: 450 KM
Day2: 380 KM
Day3: 600 KM
Day4: 450 KM
Ila Lushoto kuzuri sana aise ile mandhari mixer hali ya hewa daah! Hivi ile trip ya Chunya unaipiga lini?Lushoto. Kama dereva inabidi upandishe huku. Amazing drive achilia mbali uzuri wa maeneo ya huku milimani
Yange yange.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]Yange yange wasipokuwepo kawaida sana..
Pasaka ikiisha J4 nageuka mwendo mdundo
Ngorika!Yange yange.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaboa sana ila wanasaidia....miaka hii hatushuhudii ajali za mabasi za kutisha kama miaka ileeee ya kina Ngorika..