Yes...napenda sana matembezi ya jioni jioniUlaya ya Africa. Enjoy the city mkuu. Evening walks on sunset huwa ni murua sana!
I like the place..[emoji39][emoji39] na hiyo misitu ndiyo naburudika kabisaa.
Hapo ni maeneo ya Tengeru karibia na kwa Mtei au?Hotuba ya mama ilivyokuwa tamu, basi road trip imekuwa ni kutembea tu jioni taratibu kwa miguu nikifurahia hali ya hewa ya Arusha..[emoji39]View attachment 1745184
Yes mkuu...umepatia sana..Karibu mtaani kwetu...We ulizia te Boeing 747[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]Hapo ni maeneo ya Tengeru karibia na kwa Mtei au?
kwa uchangamfu huenda ikawa inapitwa na Arusha.Yeah kuna sehemu nyingi nzuri sana za kulia bata. I think kwa nchi nzima rock city ndiyo jiji linalofuatia kwa uzuri na uchangamfu baada ya salidalama.
Naomba niwe driver wako bas, niwe nakutembezaHahaha yaani mimi sijui nikoje. Kila siku iitwapo leo huwa nina hamu ya kusafiri.
Hivyo nikisema niziendekeze hamu zangu za kusafiri itanibidi nifanye kazi/biashara ambayo itanilazimu kusafiri kila siku. Sijawahi kuchoshwa na safari and infact nikikaa mkoa mmoja zaidi ya wiki bila kubadili mazingira huwa najihisi kuumwaumwa tu bila sababu yaani.
Uwe na safari njema na ufike salama ,zidisha uangalifu na umakini njianiChombo ikinywa mafuta tayari kwa kuitafuta MwanzaView attachment 1748021
Ulielekea wapi?.Safari mojaa......
View attachment 1722363
Huanzisha nyingine.... [emoji594][emoji593][emoji594][emoji593][emoji594][emoji593]
I meant population cause according to some sources the more populous the city the busier it becomes. So far Mwanza is the second most populous city in the country after Dar Es Salaam.kwa uchangamfu huenda ikawa inapitwa na Arusha.
Hahaha mimi nikisafiri napendelea kutumia usafiri wa public sipendelei sana usafiri private! Cause huwa napenda nikisafiri nisipige story na mtu nikae tu peke yangu nasikiliza miziki kitu ambacho kwenye usafiri private hauwezi utaonekana miyeyusho na kama ni private basi niwe peke yangu niendeshe mwenyewe!Naomba niwe driver wako bas, niwe nakutembeza
Mungu ni muaminifu mkuuHatimae Mwanza!
Salama salimini, asanteni kwa Dua zenu
Ulielekea wapi?.