Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG-20210407-WA0049.jpg
 
Hahaha yaani mimi sijui nikoje. Kila siku iitwapo leo huwa nina hamu ya kusafiri.

Hivyo nikisema niziendekeze hamu zangu za kusafiri itanibidi nifanye kazi/biashara ambayo itanilazimu kusafiri kila siku. Sijawahi kuchoshwa na safari and infact nikikaa mkoa mmoja zaidi ya wiki bila kubadili mazingira huwa najihisi kuumwaumwa tu bila sababu yaani.
Naomba niwe driver wako bas, niwe nakutembeza
 
Naomba niwe driver wako bas, niwe nakutembeza
Hahaha mimi nikisafiri napendelea kutumia usafiri wa public sipendelei sana usafiri private! Cause huwa napenda nikisafiri nisipige story na mtu nikae tu peke yangu nasikiliza miziki kitu ambacho kwenye usafiri private hauwezi utaonekana miyeyusho na kama ni private basi niwe peke yangu niendeshe mwenyewe!
 
Back
Top Bottom