Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ilikuwa infloat mara kwa mara. Nikanunua repair kit, fundi akazingua. Nikanunua carburator mpya muda wote ina mafua.

Nikaja kupata carburator used Nairobi mashine imetulia sasa
Yangu nikiweka stand ndogo ina float, fundi wameishindwa I guess maana wamejaribu sana na wakanionya nisinunue carburetor mpya... it seems they were right judging from your experience.

Naishi nayo hivyo hivyo... kila nikipaki nikaweka stand ndogo nafunga mafuta. Otherwise haina shida.
 
Tufafanulie kidogo mkuu..
Hii pisi ilisaidiaje kusevu mafuta..?[emoji3]

Au ilikojolea kwenye tank..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji3]?
 
Kitu nimegundua ni kwamba Kenya walianza tumia TVS zamani sana. Spare parts kule ni nyingi.

Ukipata mtu anaenda Namanga au Taveta muagize used ni nzuri sana. Wanazo mpaka za Apache CC 200 wale jamaa.
 
Wale wa sedans inabidi muipite njia ya Manyoni to Tabora kwa kupitia Itigi. 250km za lami mpya haina mashimo na ina curves tamu mno zile za kupita na spidi kali kwa kufuata 'racing line' plus S curves za kutosha.

SUV lovers poleni sana kuna kitu mnakosa
 
kipande kingine piga Nzega pale hadi Tabora mjini, barabara haina tuta.. na haina magari mengi, unafunguka tuu
 
Mida ya wanga, less travelled roads ndio tamu kwa usiku. Kwa huo upya wake, je alama za barabarani, michoro vipo tayari?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu. Vibao vya kuonyesha kona kali na matuta vipo tayari na asilimia kubwa wameweka zile reflectors za kuonyesha direction ya corner.

Ni mkeka proper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…