ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Yangu nikiweka stand ndogo ina float, fundi wameishindwa I guess maana wamejaribu sana na wakanionya nisinunue carburetor mpya... it seems they were right judging from your experience.ilikuwa infloat mara kwa mara. Nikanunua repair kit, fundi akazingua. Nikanunua carburator mpya muda wote ina mafua.
Nikaja kupata carburator used Nairobi mashine imetulia sasa
Naishi nayo hivyo hivyo... kila nikipaki nikaweka stand ndogo nafunga mafuta. Otherwise haina shida.