Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Amen

Ila kuna watu wanapendwa aisee. Wengine tukipoteaga hata mwaka hakuna anayetuulizia hapa dah! Halafu huyu mwamba anauliziwa na mabinti tupu...na hata taarifa za usalama wake zimeletwa na binti. Kuna la kujifunza hapa wallahi. RRONDO, I salute you bro [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hahahaha Mtumishi nakukumbusha tu kuwa mimi sio binti, ni mmama.

Ni kuishi tu na watu vizuri; si uliona kwenye birthday yako mabinti walivyotiririka na wishes. Nyie wasukuma sijui mna nini na mabinti.
 
Asante Yesu kama yuko salama.nilikuwa na wasiwasi ujue.mwambie Chakorii anamsalimu sana.
 
Sawa crush #2, nitazifikisha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
😃😃😃mama mchungaji bhana...

Kwenye ule uzi tulikuwa wanne karma alikuwa ni watatu ama wa nne😄😄

Nilipoanza kufuatilia comments za juu kabla sijaiona comment yako uliyosema yuko salama...wallah tumbo la mchango lilinikata nikahisi kama kuna kiwembe kimepita tumboni chwaaaaaaa😔😔

Habari nzuri kutoka kwako imeufariji moyo wangu...Hallelujah.
 
Sasa wewe si ndiyo umekuja wa pili, bado wenzenu hawajafika. Atakayekuja atakuwa namba 3[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] atakujaaaa
 
Hahahaha Mtumishi nakukumbusha tu kuwa mimi sio binti, ni mmama.

Ni kuishi tu na watu vizuri; si uliona kwenye birthday yako mabinti walivyotiririka na wishes. Nyie wasukuma sijui mna nini na mabinti.
Hahaha bila kuwasahau na Wanyakyusa pia. Kuna Mnyakyusa mmoja humu wengi tunampenda sana na tunaompenda wengi ni wanawake utakuwa umeshamjua.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata wewe tunakupenda ila tu hupendeki (kidding)
 

Aaahahahahhahaaaa

Wanasemaga simba mwenda pole ndo mla nyama ......

Please don’t quote me...😅😅😅😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…