Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
AmenJamani Karma na wale crushes wengine, marafiki wa dhati, washikaji na wapendwa wote wa RRONDO; kwa heshima na taadhima ameniomba niwaambie kuwa yeye yupo salama salmini, hana tatizo lolote kabisa. Isipokuwa tu atakuwa nje ya Jf for a month ila atarudi. Ameshukuru pia kwa upendo wenu[emoji120][emoji120][emoji120]
Ila kuna watu wanapendwa aisee. Wengine tukipoteaga hata mwaka hakuna anayetuulizia hapa dah! Halafu huyu mwamba anauliziwa na mabinti tupu...na hata taarifa za usalama wake zimeletwa na binti. Kuna la kujifunza hapa wallahi. RRONDO, I salute you bro [emoji122][emoji122][emoji122]