I feel so fresh....few days relaxation can do wonders!
Thank you.
Za kutosha 😂😂😂
Kuna wale wanaofanya tunning kwa kuzijaza modsHivi wabongo na ujuvi wao wote wa uchakachuaji, wamshindwa kuchakachua hizo limiter, kitu igonge angalau 220kph .?[emoji23][emoji119][emoji119]
Unaweza ukaacha sedan mbugani aiseeeKama una gari kubwa SUV kama RR unapeleka moto tu unanyooka kama hakuna unoko, juzi nimepita siku hivi nilipita nilikuta swala kapigwa baraaa kama una ka sedan [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri mkuuile barabara ile kimeo sana [emoji3][emoji3][emoji3].. alhamisi nasogea huko nikitokea dodoma
Hivi wabongo na ujuvi wao wote wa uchakachuaji, wamshindwa kuchakachua hizo limiter, kitu igonge angalau 220kph .?[emoji23][emoji119][emoji119]
Kha! Wanakupa na bima comprehensive ama?Wapo wanatoa. Ila wanabei kichaa nilisikia 2m. Kuna jamaa ana Crown 2GR katoa limiter ni balaa.
I believe wanaflash ECU ya gari. Maana limiter iko kwenye hiyo software. It should not be that expensive.Hata sijui nini kinaleta hio bei!
2m parefu balaa....Ingekuwa kwenye laki 5, wengi sana wangezitoa..[emoji119][emoji119]Wapo wanatoa. Ila wanabei kichaa nilisikia 2m. Kuna jamaa ana Crown 2GR katoa limiter ni balaa.
Kweli tatizo hayo mabodi yao ya sasa...Kuna magari ukiyaegemea vibaya, unaweza ukanunua ugomvi,...niliegemea ubavu wa noah siku moja, likabonyea nilipotoka likarudi...bahati mwenyewe hakuwepo hapo...Toyota engine reliability hana mpinzani.