Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi wabongo na ujuvi wao wote wa uchakachuaji, wamshindwa kuchakachua hizo limiter, kitu igonge angalau 220kph .?[emoji23][emoji119][emoji119]
Wapo wanatoa. Ila wanabei kichaa nilisikia 2m. Kuna jamaa ana Crown 2GR katoa limiter ni balaa.
Kha! Wanakupa na bima comprehensive ama?
 
Back
Top Bottom