Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

I believe wanaflash ECU ya gari. Maana limiter iko kwenye hiyo software. It should not be that expensive.
Tatizo la wabongo wakishagundua kitu, wanatumia mwanya huo kupiga hela...kikishaenea mtaani, bei itafika hata 50k..
Kwa mfano kufanya diagnosis ilikuwa bei kichaa, sasa hivi dogo kanyoa kiduku unampa 30k mnamaliza kazi kibao..
 
Tatizo la wabongo wakishagundua kitu, wanatumia mwanya huo kupiga hela...kikishaenea mtaani, bei itafika hata 50k..
Kwa mfanya kufanya diagnosis ilikuwa bei kichaa, sasa hivi dogo kanyoa kiduku unampa 30k mnamaliza kazi kibao..
Mi nna ki obd reader changu nilinunua china $15 I think. Kinasoma na kuclear check engine vizuri tu. Same codes zinazoonekana na haya mamashine yao makubwa.

Hizi tech zimewekwa makusudi ili bei iwe rahisi but wabongo wanatupigia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…