Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Power ndogo tatizo!
 
Nilishawai ipamia noah na pick up mlangoni ikawa km imegongwa na tren[emoji23][emoji23][emoji23] nikiifikiria ile body afu vjn wa kusafirisha gazet wanavopepea na hizo noah cna ham nao[emoji119]
Tatizo la Noah wameunda na bati jepesi sana halafu Noah ni li...Van likuuubwa, injini kubwa...uzito mkubwa..[emoji23]

Yaani ikipiga chini, inachinja watu haswaa
 
Haikuwa ligi
Ilitokea tu kwa dharura
Akajikuta ameweka rikodi
Ilikuwa gari ya Serikali.
Inawezekana; maana kama Dom-Dar ni takribani kilomita 442, hivyo jamaa kama alikuwa akitembea kwa wastani wa 145-150 kph, masaa 3 anaweza. Ila kwa barabara zetu hizi na matuta ya viazi ya kutosha sijui kama ni realistic!

Yaani Dar-Dom kama linapatikana li Autobahn letu, hata masaa 2+ kwa mtu mwenye gari yenye 260+ inawezekana.
 
Hao wa serikali hawana 50kph. Pia matuta anayaruka tu kwahio anapoteza muda kidogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…