Wakorea wako vizuri sana sehemu nyingi tu, lakini bidhaa zao zipo lower end na higher end kuteteneana na walaji.
Nilitumia Hyundai Tucson 2.0 manual ya Singasinga fulani Mbeya ndiyo chanzo cha kununua yangu.
At top speed gari bado imetulia, spea nyingi ni original, hapo Dar mtaa wa Shaurimoyo kuna agent wa KiA na Hyundai. Pia mashine za diagnosis zinasaidia kupunguza mafundi kuchokonoa pasipohusika.
Achana na Sante Fe, go for 'Tucson'
Kama ilivyo kwa laptop Dell Latitude vs Dell zingine of the same spec.