Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila gari za kisasa zina taa nzuri sana na haziumizi wanaokuja mbele yako
Taa za gari nyingi sana zinajitosheleza sana. Wanao sumbua ni wenye fuso na baadhi ya gari kubwa.. na ndio maana na wenye gari ndogo hasa watembea usiku nao wanafunga yao ili kuoneshana makali. Binafsi natumia taa za gari (stock) zinanitosha sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…