Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Makini sana.

Pale Mwanga karibu kabisa na himo, nilipiga shimo mpaka nikapaki pembeni kusikilizia maumivu.

Wakati narudi ndo nikapaona vizuri. Hapafai hata kukimbiza gari iwe mchana au usiku.
Hio njia kuna sehemu kuna michoro kama tuta. Ilinizingua sana usiku
 
Hio njia kuna sehemu kuna michoro kama tuta. Ilinizingua sana usiku
Ubaya wa usiku pia unaweza ona chombo kina taa moja ukadhani pikipiki kumbe ni gari ina taa moja.

Kuna siku huko same niliona kichaka kinatembea, kumbe watu wanasafirisha mazao yao kwa trekta. Sasa ukiwa kibati lazima ule mzinga.

Hata uwe na Laser lights bado kuendesha usiku ni changamoto.
 
Hapo hujakuta Lori limekufa halina reflector
 
😃😃😃😃.. Ikungi hapa.. majira ya saa mbili usiku nipo mwanza the cask 😄😄😄

Kipande cha kutoka SHY to Mwanza, mkeka upo vizuri?

Nilipita usiku mwaka jana hiyo njia. Kuna mashimo ya hatari katikati mwa road. Nilijuta kupita hiyo njia. Nilifika Mwanza nasonya sana na kuwatukana Tanroad matusi yote!!
 
Nimekumiss Miss Mod
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…