Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kaka nazichanga kama za karanga hapa.

Road trip mtu asikwambie aiseee. Last October nilipiga Istanbul- Ankara halafu Ankara-Goreme, usiskie mkuu. Wacha kabisa
Covid 19 ikiisha will think about overseas kwasasa masharti mengi huwa siwezi kuvumilia.
 
Panatisha mkuu, Kiwangwa karibu nife, nilikuwa mwendo kasi na giza limeingia, nilipiga shimo nikayumba sana
Hio njia ya Bagamoyo usiku mmoja nilipiga tuta balaa! Nilikuwa kama 120kph kushtuka hili nililiza brake moja then nikaachia nikapiga nikainuka! Dakika tano nzima naendesha huku nasikilizia mlio wa ajabu utakaotokea au warning light gani itawaka ila kila kitu kilikuwa poa.
 
Napenda kutembea usiku lkn hiyo njia imekuwa hatari sana
 
Kuelekea nchi jirani
20201218_093607.jpg
 
Back
Top Bottom