kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Bone voyageKusini trip!View attachment 1655120
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bone voyageKusini trip!View attachment 1655120
Panatisha mkuu, Kiwangwa karibu nife, nilikuwa mwendo kasi na giza limeingia, nilipiga shimo nikayumba sanaHiyo njia nimepiga shimo mpaka roho ikaniuma.
Covid 19 ikiisha will think about overseas kwasasa masharti mengi huwa siwezi kuvumilia.Kaka nazichanga kama za karanga hapa.
Road trip mtu asikwambie aiseee. Last October nilipiga Istanbul- Ankara halafu Ankara-Goreme, usiskie mkuu. Wacha kabisa
Post yako nimei sceenshotMambo view eco lodge.
Not super fancy but very traditional. Angalia Google map, call for reservations and ask for a discount. Kuna rooms with the view of the valley.
Wahudumu wanaweza kukutafutia kuku wa kienyeji wakakutengenezea.
Hio njia ya Bagamoyo usiku mmoja nilipiga tuta balaa! Nilikuwa kama 120kph kushtuka hili nililiza brake moja then nikaachia nikapiga nikainuka! Dakika tano nzima naendesha huku nasikilizia mlio wa ajabu utakaotokea au warning light gani itawaka ila kila kitu kilikuwa poa.Panatisha mkuu, Kiwangwa karibu nife, nilikuwa mwendo kasi na giza limeingia, nilipiga shimo nikayumba sana
Napenda kutembea usiku lkn hiyo njia imekuwa hatari sanaHio njia ya Bagamoyo usiku mmoja nilipiga tuta balaa! Nilikuwa kama 120kph kushtuka hili nililiza brake moja then nikaachia nikapiga nikainuka! Dakika tano nzima naendesha huku nasikilizia mlio wa ajabu utakaotokea au warning light gani itawaka ila kila kitu kilikuwa poa.
Nice view! Safiri salamaKusini trip!View attachment 1655120
IT nasikia zinaenda mwendo wa kifo!kikubwa Dua MaalimView attachment 1655095
Wengine kusafiri moja ya burudani mkuuWasafiri utawajua tu
Dodoma-Ruvuma.
Nko na Harrier Tako la nyani T....DKA,
Now navuta pumzi kidogo hapa Iringa.
Utulivu
Njia inakuwa haina heka heka
kwa nyakati na njia ninazosafiri usiku hakuna ITWe usiku kuna ligi si za kitoto..tena ndo ukutane na gari za boda(IT)
Kusini trip!View attachment 1655120