Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wasafiri utawajua tu
Nimelamba lami Dar Musoma.... kuna njia ya Shinyanga kupitia Maswa na Bariadi kutokea Lamadi badala ya kupitia Mwanza... ile njia ni tamu sijawahi ona, haina tuta hata moja zaidi ya rasta, haina malori... ni kipande cha 200km ila average speed ni 150km/h na you don't even feel it, hamna hata mishe mishe za kusema uovertake magari mengi, haina kona kona aisee acha kabisa!
 
RROND nipo kitaa hapa nimekuja kununua samaki aisee nimeona Golf Nyeusi dah iko njema kishenzi,imekuja huku uswahilini bila shaka ni ya mwaka 2015...Golf au Polo zitanimaliza roho yangu...fanya siku moja kutuchambulia hizi mashine.
Watu wa mbio wanapenda usiku hamna usumbufu wa wale jamaa zetu
 
Nimelamba lami Dar Musoma.... kuna njia ya Shinyanga kupitia Maswa na Bariadi kutokea Lamadi badala ya kupitia Mwanza... ile njia ni tamu sijawahi ona, haina tuta hata moja zaidi ya rasta, haina malori... ni kipande cha 200km ila average speed ni 150km/h na you don't even feel it, hamna hata mishe mishe za kusema uovertake magari mengi, haina kona kona aisee acha kabisa!
Duh hio ni racers dream
 
Kusafiri ni burudani sana basi tu majukumu yanabana
Mwenye hii kitu anauza bei ya kibonge anicheki wakuu.
Naipenda kwa roho yangu yote
images%20(12).jpg
 
Nakubaliana na wewe.

Tangu niko chuo sijawahi kutamani kuajiriwa hasa serikalini na sijawahi kuomba serikali na nina furaha naelekea kujitegemea mwenyewe miaka 2 ijayo...

Mzee tutakutana barabarani huko[emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah ukiwa mfanyabiashara/umejiajiri kuna ka Uhuru fulani hivi. Akili ikichoka unaenda zako nje ya mji for few days
 
Back
Top Bottom