Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Ni kweli. Mashimo mengi sana.Ila hii njia siku hizi mbovu sana wazee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli. Mashimo mengi sana.Ila hii njia siku hizi mbovu sana wazee..
Nimelamba lami Dar Musoma.... kuna njia ya Shinyanga kupitia Maswa na Bariadi kutokea Lamadi badala ya kupitia Mwanza... ile njia ni tamu sijawahi ona, haina tuta hata moja zaidi ya rasta, haina malori... ni kipande cha 200km ila average speed ni 150km/h na you don't even feel it, hamna hata mishe mishe za kusema uovertake magari mengi, haina kona kona aisee acha kabisa!Wasafiri utawajua tu
Ni kweli. Mashimo mengi sana.
Watu wa mbio wanapenda usiku hamna usumbufu wa wale jamaa zetu
So najiandaa ivo hapa.Kama utabeba mifuko sawa...
kwa nyakati na njia ninazosafiri usiku hakuna IT
Twezetu mkuu,niko mdogo mdogo..Sijui kwanini naipenda Songea...
Kawasalimie huko home, nimeku miss San, japo nimetoka mwezi uliopita huko.Twezetu mkuu,niko mdogo mdogo..
Now Njombe aisee,napunga upepo kidogo.
Duh hio ni racers dreamNimelamba lami Dar Musoma.... kuna njia ya Shinyanga kupitia Maswa na Bariadi kutokea Lamadi badala ya kupitia Mwanza... ile njia ni tamu sijawahi ona, haina tuta hata moja zaidi ya rasta, haina malori... ni kipande cha 200km ila average speed ni 150km/h na you don't even feel it, hamna hata mishe mishe za kusema uovertake magari mengi, haina kona kona aisee acha kabisa!
Ebanaee huo mkeka ni noma!Kuelekea nchi jiraniView attachment 1655173
Twezetu mkuu,niko mdogo mdogo..
Now Njombe aisee,napunga upepo kidogo.
It is heaven mkuu, hata kama sio racer you will appreciate it.Duh hio ni racers dream
Mwenye hii kitu anauza bei ya kibonge anicheki wakuu.Kusafiri ni burudani sana basi tu majukumu yanabana
Kusafiri ni burudani sana basi tu majukumu yanabana
Unataka kununua?Mwenye hii kitu anauza bei ya kibonge anicheki wakuu.
Naipenda kwa roho yangu yoteView attachment 1655193
Naam mkuu, bei ikiwa imepooza si unajua vyuma?Unataka kununua?
Yeah ukiwa mfanyabiashara/umejiajiri kuna ka Uhuru fulani hivi. Akili ikichoka unaenda zako nje ya mji for few days