Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Akhsante boss [emoji120][emoji120][emoji120]Barabara inakukaribisha sana.
Njoo tulambe lami mkuu... tuione nature ikipita pembezoni kwa kas, tuone kila aina ya greenish.
Njoo tuexperience hali ya hewa ya mikoa mitano tofauti ndani ya siku moja. Tuisikie sauti ya upepo.
Njoo tuone mazingira ambayo watanzania wenzetu wanaishi mbali na mijini.
Njoo tuenjoy.
Jana nilikaa sehemu,nikajiselfie..nikasikia pembeni wanaongea,mmoja anasema"yaani bado sijatimiza ndoto yangu ya kupiga picha na miwani ili nionekane msomi"Vaa miwani miss....you gonna look intelligent! [emoji23][emoji23]
Hapana kwa kweli, nitakamatia mwenyewe usukani mwanzo mwisho, sema naogopa kupata tatizo njian afu peke angu lol.Duh nitaruhisiwa kuendesha?
Mie huwa naendesha kwa ustaarabu, umakini na uangalifu, maan napenda na kuthamini uhai wangu, ila tatizo road ikiwa nzuri na tambarare huwa napatwa na jini fulan wa kuweka high speed, [emoji23][emoji23][emoji23]All the best...uangalie speed..hawa jamaa humu usiwasikilize sana aisee...
bado tunakuhitaji tulipe wote deni la taifa .....hahahahaha
Unajua basic troubleshooting?Hapana kwa kweli, nitakamatia mwenyewe usukani mwanzo mwisho, sema naogopa kupata tatizo njian afu peke angu lol.
Nahitaj mtu ili awe msaada kukiwa na tatizo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hilo jini la tambarare lisipokupata wewe utakuwa sio binadamu wa kawaidaMie huwa naendesha kwa ustaarabu, umakini na uangalifu, maan napenda na kuthamini uhai wangu, ila tatizo road ikiwa nzuri na tambarare huwa napatwa na jini fulan wa kuweka high speed, [emoji23][emoji23][emoji23]
But ntakua makini ktk hilo, thanks kwa ushauri wako.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Umeona eeeeh? Yaan ndinga yenyewe inashawish high speed, [emoji23][emoji23][emoji23]Kuendesha X6 ( I assume it's Xd35 ) chini ya 140kph ni matumizi mabaya ya rasilimali...[emoji23][emoji23][emoji23]
Take care.Umeona eeeeh? Yaan ndinga yenyewe inashawish high speed, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tena jmos njoo unipe company, ila uwe fundi maan kukiwa na tatzo unasolve, [emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!
Tupo pamoja boss wangu .
Mimi sipendi Safari ila huu uzi unanivutia,taratibu najikuta naanza kutamani kutembea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me cjilipui bro nnaona ucku kuliko mchana aisee labda ndio ttz langu![emoji23][emoji23]Wengi wanajilipua tu. Ndio maana napenda kusafiri mchana kwasababu najijua naendesha kuanzia 140kph
Nilifikiri peke yangu huwa natembea na extra oil and coolant!Unajua basic troubleshooting?
Unaweza kufungua tairi na kuweka spea? Unatembea na spanner? Pliers? Extra oil? Extra coolant? Extra fuses? (japo zipo kwenye gari ndani pia)
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wee lolhahahah..Mkuu yeye mwenyewe nyara ya taifa!
Mwache mtoto wa watu aishi maisha marefu ashuhudie Tanzania ikiwa donor country chini ya Jemedari SSH 🙂
cc usinichongee bas lol, mbma mie natembeza kwa umakini eti.
Mkuu taratibu bas, mbna kawaida tyuuh. Wala hakna tatizo.Dogo ana 20 gari kubwa hivyo la nini? Umri huo na hilo gari ni recipe for disaster!
[emoji23][emoji23][emoji23] cc muongo wee, ila cc unajua ladha ya X6? Ooooh acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee una vituko San lolIla kiukweli umasikini ulaaniwe! Kuna gari unaingia mpaka unajiuliza...wewe una fail wapi?
Ulishajaribu kufungua mlango wa Mercedes GLE? au VW Touareg? mzee mlango una kilo kumi..nenda sasa kwa zile gari za akina Masanja..mlango kilo moja na nusu...
Yaani umasikini ni adui mkubwa 🙂
Arusha through bbt mkeka bd mpya uko poa sn utumie hutojuta[emoji847]Hivi wakuu niambie kuhusu hii barabara. ..kutokea Dodoma kwenda Arusha through Babati. Sijawahi pita. Nimetumia hii ya Singida-Arusha via Babati km 325. Ingawa ni ndefu kiana. Though kuanzia late evening inakuwa nyeupeeee...
In few weeks, nataka nifanye trip ya Arusha..ila nina kazi kidogo Dodoma. Sitaki nilale hapo. Nataka jioni niunge Arusha.
Yaan gari yenyewe inashawishi, ikikutana na mkeka mweusi ndo kabisaaah, mambo mukideeeeh.Mkuu hizi ndio mambo hutaki kusikia?
View attachment 1797917View attachment 1797909
Mbona hatuna ushauri mbovu mkuu tunamwambia vitu practical kabisa. Hizi spidi hatupangi mkuu, zinatokea tu.