Ameeeeen.If anajua limits za gari, barabara na yeye mwenyewe na anaziheshimu, hakuna tatizo na umri.
Ila akiendesha kama wanyoa viduku.... the beamer would be the end of him. Binafsi my car scares me a little.
Kujihami muhimu sana mkuu. I hope madereva wengi wanatembea nazo.Nilifikiri peke yangu huwa natembea na extra oil and coolant!
[emoji23][emoji23][emoji23] afu sijui kwann wanaovaa miwani wanaonekana wasomi. HahahJana nilikaa sehemu,nikajiselfie..nikasikia pembeni wanaongea,mmoja anasema"yaani bado sijatimiza ndoto yangu ya kupiga picha na miwani ili nionekane msomi"
Akawa ananitamani..nikaishia kucheka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii njia hii one day yes...Arusha through bbt mkeka bd mpya uko poa sn utumie hutojuta[emoji847]View attachment 1797935
Anaombea kuumwa macho! Muache ataumwa kichwa hadi avae miwani afurahi.Jana nilikaa sehemu,nikajiselfie..nikasikia pembeni wanaongea,mmoja anasema"yaani bado sijatimiza ndoto yangu ya kupiga picha na miwani ili nionekane msomi"
Akawa ananitamani..nikaishia kucheka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaovaa miwani wote ni wasomi,ila si wasomi wote wanaovaa miwani.[emoji23][emoji23][emoji23] afu sijui kwann wanaovaa miwani wanaonekana wasomi. Hahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Arusha through bbt mkeka bd mpya uko poa sn utumie hutojuta[emoji847]View attachment 1797935
Huku mimi natamani ingekuwa tunasaidiana haya macho basi mtu angenisaidia,gharama ya miwani iwe juu yangu.Anaombea kuumwa macho! Muache ataumwa kichwa hadi avae miwani afurahi.
Dogo kulakula kwanza hela sa Heslb.cc usinichongee bas lol, mbma mie natembeza kwa umakini eti.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mungu wangu!! Hata jinsi ya kuzungusha spanner enyewe sijui, mie najua kudrive na sheria zake, ikitokea tatzo tyuuh bas nimeshaishiwa kila kitu.Unajua basic troubleshooting?
Unaweza kufungua tairi na kuweka spea? Unatembea na spanner? Pliers? Extra oil? Extra coolant? Extra fuses? (japo zipo kwenye gari ndani pia)
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwa kweli acha tyuuh.Hilo jini la tambarare lisipokupata wewe utakuwa sio binadamu wa kawaida
Mbna ntaacha ya singida, ntapita hii hapa, maan inashawishi mno.Arusha through bbt mkeka bd mpya uko poa sn utumie hutojuta[emoji847]View attachment 1797935
Oooooh hapo sasa sawaah.Wanaovaa miwani wote ni wasomi,ila si wasomi wote wanaovaa miwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikikupendeza toka dodoma siku ya jumapili ,kuanzia saa 9 wajomba wa tochi wanaondoka barabarani , unajilazia tu mshale 180 bila shida , dom kondoa ni 130km plus hazina tutaItabidi nipite kabla Mjapan wangu sijamfunga ball joint,bushes,tie rod end za Kariakoo
Trip hii nataka nitoke Dar asubuhi sana nikalale Singida. Then kesho yake nianze ya kuelekea Arusha. Ila ndio nimeambiwa route hii nitaukosa mkeka wa Dodoma-Kondoa!Ikikupendeza toka dodoma siku ya jumapili ,kuanzia saa 9 wajomba wa tochi wanaondoka barabarani , unajilazia tu mshale 180 bila shida , dom kondoa ni 130km plus hazina tuta
Usidiriki kutembea usiku. Yani panga safari yako such that giza linapoingia uwe unafika unakoelekea au unalala. Hata kama hujui ufundi, wasafiri wenzio tunaweza kukusaidia, ila tu hakikisha una spare tairi yenye upepo unaotakiwa, wheel spanner na jeki. Na uvikague kila mara unapoanza safari. Pia hakikisha una triangle za usalama, ukipata shida washa hazard na uweke triangle nyuma na mbele ya gari, mita 50 kila upande. Triangle zinapeperushwa na upepo so zigandamize na jiwe zito.Mungu wangu!! Hata jinsi ya kuzungusha spanner enyewe sijui, mie najua kudrive na sheria zake, ikitokea tatzo tyuuh bas nimeshaishiwa kila kitu.
Kuna safar 1 nlkua natoka Dar naenda Moro, sasa ile gari ilkua ina tatizo kwenye tyre, wakat huo mie sijui wala mwenye gari hajui, mie huyo nkachukua ndinga kuanza safari, bhana wee kufika chalinze kwa mbele kidogo kuna ka msitu fulan kadogo,
Nkasikia sauti "paaaah" nilishtka kwa woga nusu niaachie usukan, bahat nzuri nilikua mwendo mdogo tena mdogo mno, bas nka control gari ikasimama pemben ya road, nashuka kuchek hivi naona tyre ya nyuma kulia imepancha.
Kisanga sasa sijui A wala Z kuhus ufundi, yaan sijui lolote, [emoji23][emoji23][emoji23] nilichofanya nlikaa tyuuh ndani ya gari afu nkaanza kulia yaan nalia vibaya sielew, baadae nkaona nimpigie muhusika anasema yeye yuko buzy kazin, hawez kuja, bhana wee nilianza kulia tena [emoji23][emoji23][emoji23] nalia tyuuh sielew, kumbe muhusika amewatuma mafundi wawili wanifate,
Baadae kidogo naona gari imepark mbele yangu, wakashka wanaume wawili na vifaa, wakacheki tatizo ndo wakaanza kutengenza na kubadili tyres, ikawa fresh na safar ya Moro ikaishia hapo nkarudi Dar,
Tangu siku hiyo sichukui gari bila kuhakikiwa kuwa ni nzima, maan itakua habari nyingne.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app