Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh mkuu kuna gari dereva anainjoi zaidi ya abiria. Pia driving ni hobby, kwenye road trip starehe yangu ya kwanza ni kuendesha,kusikia v6 au v8 power roars ni raha sana....nikizeeka nitamwachia dereva 😂😂😂😂
 
Sijawahi endesha usiku mie, ila wanavoendesha wengine nkitazama, naona kawaida hat mie naweza.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Usiku ni ngumu kuendesha maana inabidi akili iwe very sharp, kwanza kukadiria distance, ku neggotiate corners , mnavyopishana na pia uwe mwepesi kujua uelekeo wa gari unalopishana nalo, kuna madereva wengine usiku wanaendesha wakiwa wamechoka , hakawii kusinzia , kuingia upande wako akakusababishia ajali,
 
Lasik Surgery works better.

It's effective and a better option.

Ila mi sitaki mtu acheze na macho yangu kabisa.
Itabidi nifanye mpango aisee..miwani inakera sana.
Kwa hapa bongo wapi naweza pata hiyo huduma?

Hapo penyewe last time Dr alinipima akaniambia computer inaonyesha -4..nikamwambia aache utani.
4 sivai mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye suala la miwani sasa hapo ndipo mtihani ulipo. Sijui kwanini pamoja na kujigundua kuwa nina hili tatizo ila bado sipendi kujizoesha kuvaa miwani.
Kuna optician aliwahi niambia ukiwa na tatizo na usipolifanyia kazi unazidi kufanya tatizo linakuwa kubwa na linaweza athiri hata vitu vingine.

Sawa na gari, ikifa sensor moja na usipotibu tatizo, matatizo mengine yatazidi kujitokeza.

In the mean time, kavae miwani kwanza huku unajipanga kwa option nyingine nzuri zaidi.
 
Mara ya kwanza kufungua mlango wa benz nilidhani ni mbovu.

Haufunguki wote, unafunguka kidogo tu. Inabidi utumie nguvu kuusukuma mpaka mwisho.

Milango ya hizi gari zetu unafungua unaenda wenyewe mpaka mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…