Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hamna.Duuuh polen sana cc, vipi miwan ile mikanda yake haiumiz kweny masikio, mda mrefu?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna.Duuuh polen sana cc, vipi miwan ile mikanda yake haiumiz kweny masikio, mda mrefu?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
OkeeDepends, ratiba ni flexible zinaweza badilika muda wowote. Ila so far ntaishia Mbeya mjini.
In around 2 weeks nikishajaza mchele na mpunga kwenye buti ntaanza kurudi mjini via Iringa > Dodoma nijazie buti na madumu ya wine then nielekee Dar nikatulie.
Aseeeh. Ila vizuri mnavaa miwani. Bila hivyo ingekua patashka.
Jaribu kuendesha kipande cha Chalinze Mbezi mishale ya saa 4 usiku, utaelewa changamoto zake.Sijawahi endesha usiku mie, ila wanavoendesha wengine nkitazama, naona kawaida hat mie naweza.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Duh mkuu kuna gari dereva anainjoi zaidi ya abiria. Pia driving ni hobby, kwenye road trip starehe yangu ya kwanza ni kuendesha,kusikia v6 au v8 power roars ni raha sana....nikizeeka nitamwachia dereva 😂😂😂😂Kuna siku nimeendesha from Dar to Mwanza mwenyewe non stop (Touarage imesimama kweli kweli 🙂 . Nimefika around saa kumi na mbili jioni.....
Ile nimeingia hotelini.....nikajiuliza maswali mengi..Masanja ndo naanza kuingia uchumi wa kati...halafu nakimbizana na hizi barabara..why lakini? sikupata jibu la kuridhisha.
Aisee from there on..nina kijana wangu Dar....mda fulani alikuwa dereva wa diplomat mmoja. Nikiwa nasafiri mbali ndo anashika usukani. But if its a 500km and less naendesha mwenyewe.
The good news.... huyu dereva anaijua na kuipenda kazi yake haina mfano! Kikubwa kuliko vyote yaani gari inakaa safi mda wotee....mpaka raha! (nachukia sana gari chafu)
Truth is..nikiwa nasafiri nataka niwe free..nichungulie iPad kidogo..kama nina kiu nifungue ka kopo ka Heineken kidogo ilmradi...nifurahie safari yangu.
Hapana hizo trip ndefu na speed nawaachia...aiseee.....nisije katisha maisha yangu kizembe nikakosa raha za uchumi wa kati.....ambazo nimezihangaikia for years!
Pamoja sana wakuu..life is short..lets enjoy but.......responsibly!
Duuuuuh sasa hapa una maanisha adha ya foleni au?Jaribu kuendesha kipande cha Chalinze Mbezi mishale ya saa 4 usiku, utaelewa changamoto zake.
Usiku ni ngumu kuendesha maana inabidi akili iwe very sharp, kwanza kukadiria distance, ku neggotiate corners , mnavyopishana na pia uwe mwepesi kujua uelekeo wa gari unalopishana nalo, kuna madereva wengine usiku wanaendesha wakiwa wamechoka , hakawii kusinzia , kuingia upande wako akakusababishia ajali,Sijawahi endesha usiku mie, ila wanavoendesha wengine nkitazama, naona kawaida hat mie naweza.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Karibu mkuu tupige trip pamoja.
Mlandizi Chalinze hakuna foleni. Giza likikolea tu anza Mbezi kuiitafuta Chalinze na kisha ugeuze urudi. Ni kipimo tosha cha changamoto za usiku.Duuuuuh sasa hapa una maanisha adha ya foleni au?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Akutane na basi za mwanza zimevurugwa dereva ana overtake lori kwenye kona , halafu barabara ina matuta kama shamba la viazi,Mlandizi Chalinze hakuna foleni. Giza likikolea tu anza Mbezi kuiitafuta Chalinze na kisha ugeuze urudi. Ni kipimo tosha cha changamoto za usiku.
Tukiongea anaweza asielewe. Akienda wakampelekea moto ndio tutazungumza lugha moja nini maana ya changamoto za usikuAkutane na basi za mwanza zimevurugwa dereva ana overtake lori kwenye kona , halafu barabara ina matuta kama shamba la viazi,
Kipande hatari sana kile
Lens kubwa sana hii. Matatizo yako ya macho yanatisha.Kutokuona mbali kunatatuliwa na miwani.
Nikivua miwani yangu -3.5 hata kupaki gari siwezi. Nikivaa natembea mwendo mzuri tu usiku kama mchana.
Lasik Surgery works better.Nje ya mada:
Unavaa lens kama yangu,
Hivi hajawahi tafuta ama sikia suluhisho jingine la hili tatizo nje na miwani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nifanye mpango aisee..miwani inakera sana.Lasik Surgery works better.
It's effective and a better option.
Ila mi sitaki mtu acheze na macho yangu kabisa.
Kuna optician aliwahi niambia ukiwa na tatizo na usipolifanyia kazi unazidi kufanya tatizo linakuwa kubwa na linaweza athiri hata vitu vingine.Hapo kwenye suala la miwani sasa hapo ndipo mtihani ulipo. Sijui kwanini pamoja na kujigundua kuwa nina hili tatizo ila bado sipendi kujizoesha kuvaa miwani.
Mimi nilianza na -2 .Lens kubwa sana hii. Matatizo yako ya macho yanatisha.
Mi navaa -0.5 transition lens ila bado usiku wananikomesha.
Asante boss.Karibu mkuu tupige trip pamoja.
Mara ya kwanza kufungua mlango wa benz nilidhani ni mbovu.Ila kiukweli umasikini ulaaniwe! Kuna gari unaingia mpaka unajiuliza...wewe una fail wapi?
Ulishajaribu kufungua mlango wa Mercedes GLE? au VW Touareg? mzee mlango una kilo kumi..nenda sasa kwa zile gari za akina Masanja..mlango kilo moja na nusu...
Yaani umasikini ni adui mkubwa 🙂
Nimeshakuwa addicted na miwani..nisipova utanionea huruma.Aseeeh. Ila vizuri mnavaa miwani. Bila hivyo ingekua patashka.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kuna mshkaji wangu ana carina yake, idadi ya spares zilizo kwenye gari yake anaweza akafungua micro garage sehemu.Nilifikiri peke yangu huwa natembea na extra oil and coolant!