Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilijua tu. Wala hutumii nguvu.
 
Sijaona anayetaka kupiga trip ya Mbeya,Songwe.
Hakuna anayevutiwa kutembea huko.?
Mwenyeji wenu nipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshafanya sana route za huko

Mbeya - Songwe (Tunduma) - Sumbawanga hadi Mpanda

Kutoka Mpanda hadi Tabora
Kutoka Mpanda hadi Kigoma via Uvinza.

Gari inatakiwa iwe vizuri, vinginevyo unaweza kuchelewa kupata msaada ikitikea breakdown.
 
Panaitwa "Chalinze" kama sikosei, katikati ya msitu huko Mpanda - Uvinza rd. Kuku choma, Nyama choma bei nafuu sana hapo! Wakimbizi walowezi kibao maeneo hayo.

Nikaliona moja ya basi ya kampuni kongwe Rukwa - Katavi - Tabora - Kigoma
 
Eeeh masaa 7 hadi 8 Dar - Mbeya [emoji848]
Figuring out;
Dar - Moro 2 Hrs
Moro - Iringa - 2.5 Hrs
Iringa Mbeya 3 Hrs?

Hebu nivunjie namna unavyotoboa within that short time Mzee Baba
 
Mzee Kikwete zamani sana (early to mid 90's) alikuwa na mashine kama hii, sijui kama angali anayo...

Miraj, Sele Kikwete wazee mlitutesa sana kitaa cha Migombani...



Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndio naconnect na matumizi yake ya Nissan V8 lile toleo jipya. Kumbe he has been Nissan 'die hard fan' since ages. Nafikiri kati yake na Eddo Mamvi kuna mmoja aliyemwambukiza mwenzake, Edo was among the very first Tanzanians kumiliki hii chombo ilipotoka tu
 
Eeeh masaa 7 hadi 8 Dar - Mbeya [emoji848]
Figuring out;
Dar - Moro 2 Hrs
Moro - Iringa - 2.5 Hrs
Iringa Mbeya 3 Hrs?

Hebu nivunjie namna unavyotoboa within that short time Mzee Baba
Iringa Mbeya kwa usiku ni chini ya dk 180 ukitembea wastani wa 140kph tu

Moro Iringa ukizembea unawea kutumia dakika 180 ila ukifidia fidia sehemu nzuri pia unaweza kutumia chini ya dk 180

UBUNGO - Moro Ukitoka saa nane usiku unaweza kutumia dk 200

Hivyo inawezekana! Ila hatari sana.

Ila kutumia saa tisa Dar Mby ni kawaida sana, hata mabasi yashawekaGa rekodi hizo.
 
Iringa Mbeya kwa usiku ni chini ya dk 180 ukitembea wastani wa 140kph tu
Ndio maana Maxi nimeweka hizo 180Mins kwa anayemwaga moto mwanzo mwisho na kufukia matuta ya Tanangozi, Rungemba, Ifunda sijui Nyololo kote huko [emoji23][emoji23]. Kumbuka Ir - Mby ni parefu kidooogo (334Kms) than Moro - Ir (300Kms) only advantage ni Ir - Mby mkeka wake ni mtamu zaidi kuliko Moro - Iringa.
 
Mzee umenikumbusha mbali hapo, huwa wanauza kuku wa kienyeji na ugali wa mihogo (Lowe) wanafunga kwenye Jani za mgomba.
 
Eeeh masaa 7 hadi 8 Dar - Mbeya [emoji848]
Figuring out;
Dar - Moro 2 Hrs
Moro - Iringa - 2.5 Hrs
Iringa Mbeya 3 Hrs?

Hebu nivunjie namna unavyotoboa within that short time Mzee Baba
Dar - Iringa 4.5hrs, distance 490km approx
Iringa - Mbeya 3 to 3.5hrs, distance 334km approx
Muda ni usiku, gari engine ni V6/V8 (gari nyingine hizi zenye engine za kawaida ni 9 to 9.5hrs)
Dar to Mbeya, vituo vya mafuta ni viwili (Mikumi na Makambako)
Min speed 120kph na mwendo huu ni hadi kule Iyovi, Max speed kisahani chote sehemu zinazoruhusu kama Ruaha Mbuyuni, Makambako hadi Iringa, Moro hadi Chalinze, sehemu kama Mikumi unajitoa ufahamu ile 50kph yao ya usiku unafanya kama huijui...

Sehemu speed kidogo inapungua Kitonga wakati wa kupanda approx 70 to 80kph...

Chimala hadi maeneo ya Nsonyanga Mbeya sababu ya barabara ina madimbwi na mashimo...

Mlandizi hadi pale mbele kidogo ya daraja la juu la treni, barabara ina mawimbi hatari...

Hii ilikuwa achieved wakati hapo Picha ya ndege hawajabomoa barabara, Kingolwira/Kingolwira Magereza hawajaanza chimba barabara, Iyovi hawajaanza kupanua barabara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…