Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Njia ya Dar Lindi Songea Ina kilometa pungufu na haina milima mingi kulinganisha na kupitia Iringa/Muombe.
Dar ' Songea via Lindi imeizidi Dar - Songea via Iringa kwa walau 50Kms hiviii, advantage ya hii ya Lindi > Masasi it has less traffic congestion, less 'traffic points'. Usumbufu kidogo ni kutoka Dar hadi utoboe Mbagala > Kongowe > Vikindu huko mbele mwendo tu kimtindo unlike route ya Iringa msongamano mkubwa wa magari hadi Chalinze flani Moro hiviii na kuendelea. Otherwise milima nayo ni kipengele kingine.
 
Hakika unazijua!!!
Engine ilikuwa ni Td 42 na lilikuwa lina behave exactly ulivyoelezea , sijawahi kupata nafasi ya kuendesha manual labda ningelipenda
Na Land Cruiser Series 70 ZX, Toyota Coaster na Land Cruiser Series 80 zenye injini ya 1HZ na gearbox automatic kwenye mlima huwa zinasinzia Sana kuzidi hata manual yenye injini ya 1HZ.
Nazo Toyota aliweka gearbox ya 4-speed.

Sasa hiyo Toyota Coaster yenye 1HZ na nia auto ukiipa mzigo wa abiria Kisha ukutane na mlima inajivua gia mpaka namba 1 Kisha inalalamika na haiendi,ukizidisha kukanyaga mafuta ndio unaongeza kelele na spidi kidogo.
 
Yes. Na ukipiga race inachutama upande
 
Inawezekana labda hali ilikuwa mbaya sana na home mambo magumu.

Wanaume kuna wakati tunapitia mengi sana.

Unaamka asubuhi ramani haisomeki na familia inakutizama tu.
 
Wakati narudi Dar from Dodoma nilitaja kupost kuhusu hii kadhia. Nilikaa 2 hours kutoka kwa Mathias mpaka Picha ya ndege.

This time nikiwa narudi sirudii ujinga, nikifika Chalinze naminya kushoto Msata.
 
Mazingira ninayoishi vijana na wazee hawana aibu ya kuomba omba hela....

Unakutana na mtu anakunyookea. " Sijawahi kukuomba kitu leo nipe 5000 tu"

as if ulikuwa umemuweka mwenye bajeti zako..[emoji26]
Anaamini kabisa ana haki na pesa yako
 
Wakati narudi Dar from Dodoma nilitaja kupost kuhusu hii kadhia. Nilikaa 2 hours kutoka kwa Mathias mpaka Picha ya ndege.

This time nikiwa narudi sirudii ujinga, nikifika Chalinze naminya kushoto Msata.
Wala usisubiri kufika hadi Chalinze, kunjia nyuma kule Mdaula sijui ukapitie Msoga utobolee mbele hukooo or else waja kujiunga na kijifoleni cha ujenzi wa Chalinze pasipo ulazima
 
Marhabaah yan lina mzuka balaa!gari za auto me hua cna mzuka nazo bas tu[emoji13]
 
Wabaya , zaidi ni swala , unaweza kuona pametulia , ghafla bin vuu, huyu hapa kwa barabara , anamkimbia simba!!!!
Bora ugonge mmoja bas, wakiwa watatu , dola 600 iwe kwenye mfuko wa shati
unachukua kama vitoe lakini.. 😀😀 au inakuwaje😀.. maaana pale mitaa ya usiku Mungu anajua.. huwa nalala napo hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…