Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Labda ndo sababu 300 series inayokuja toyota kaamua kueka 10 speed auto
 
Hii kitu inaboa
Au unafuata huduma mtu anakwambia sistaa hii chenchi si ninywe soda [emoji56]
...na kinachofanya maisha ya Bongo yawe magumu ni mizinga na utegemezi..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Ukiingia bar mizinga, dada akishindwa kulea mtoto unasukumiwa kisa una kibarua kidogo huko mjini..
 
Nimeona Mshana amepost Saint Anne amefiwa na baba yake.

Napenda kumpa pole mdau mwenzetu na Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu kwake na wanafamilia.

Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.

Pole Saint Anne Mungu akitie nguvu usipoteze imani, moyo huuma, huzuni hujaa ila wakati ni dawa maana akili husahau.... na muda ukienda hata ukikumbuka uchungu na huzuni haviwi kwa kipimo kile.

Haya ndo maajabu ya Mungu, ukimtegemea na kumuamini hakuachi. Roho, nafsi, utashi na akili ukijumlisha na moyo ndo utu na ndo mwanadamu.....

Linda sana moyo wako, maana ndiko zitokako chemchem za uzima.

Nawaombea mmalize shughuli za mazishi salama kwa amani na upendo. Pole nyingi zifikishe kwa familia pia.
Pokea kumbato la faraja kwa namna ya rohoni kutoka kwa bibi Kasinde.

Pole sana Anne.
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…