Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa kweli sijawahi kuiona mwaka wa 6 huu niko nayo.
For more than a decade 2019 ndo iliniwakia ila mpaka dk hii haijaniletea ttzo na mafundi wengi wameshindwa kuizima japo gari bado inarun smoothly hata kwa safari za ghafla kwenda mikoani..... Mbaya zaidi hata kwenye odb reader haitoi reading yoyote yaani haisomi
 
Labda ilichoka kukaa bila kazi 😂😂
 
Mkuu pole sana na hongera kwa kupambania kuishusha na hakika umetoa na somo kwetu juu ya kupambana kuishusha....... Sio mchezo mdogo
 
Nimeona Mshana amepost Saint Anne amefiwa na baba yake.

Napenda kumpa pole mdau mwenzetu na Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu kwake na wanafamilia.

Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.
Amina !
Roho ya Baba wa mwenzetu Saint Anne ipumzike kwa amani [emoji1374]
Pole sana Saint Anne Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kumpumzisha baba yetu.
Mungu awafanyie wepesi..Vile hatujuani..tungechanga hata 5000 kwa kila mtu tumpe pole
Pole sana Saint Anne kwa msiba mzito uliokukabili, Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu. Apumzike kwa Amani Baba yetu.
Pole Sana ndugu yetu Saint Anne kwa Msiba.
Pole sana Saint Anne kwa msiba! Mungu akupe faraja na amani katika kipindi hiki kigumu.
Amen[emoji24][emoji120]

Asanteni sana kwa faraja hii mnayonipa.

Nikiwa Kama binti mdogo na mtoto wa mwisho wa mzee,naumia kumpoteza baba yangu[emoji24]

Hii faraja mnayonipa ni baraka mno kwangu.

Mungu awabariki na pokeeni picha za trip yangu ya msibani.
 
Pole sana Saint Anne ....we know the situation which you are going through

... daughter's love to her daddy is special and endless....Mungu awavushe salama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…