ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Yes.Kiyegeya pale, soko walilolizindua Prof. Wa Jalalani na Mwendazake, ni road side, Kms kadhaa after Gairo.
Kitonga na Nyang'oro pamenyooka hivyo!Acha kabisa aise barabara mbaya sijapata kuona! Nilikuwaga nasikia tu kuwa Nyang'oro kuna kona mbaya kuliko hata Kitonga nikawa nabisha maana mimi nilikuwa naamini Kitonga ndiyo kuna kona mbaya ila jana ndiyo nikajionea mwenyewe!
Kweli kwa Nyang'oro Kitonga inasubiri aise! Maana Nyang'oro kuna kona mbaya halafu barabara zake nyembamba kuna sehemu mnapita hadi unajiuliza hivi hapa magari mawili yanapishana kweli hapa bora hata Kitonga kona zake zina space kidogo!
Halafu Kitonga huwa panachukua takriban dakika 10 kupamaliza ila Nyang'oro ni karibu dakika 20 hivi! Ila zaidi ya yote nimependa ile view ya Mtera Dam inavyoonekana kwa chini!
Tunasubiri trip zako za huko, hata siku ukienda racing tuwekee.Naufuatilia sana huu uzi mkuu
Naona mnavyojiachia huko
Shukran sana
Mashine mpya lazima ijaribiwe Kwa road trip. Hongera mkuu.Alhamdulilah nimepata ki baby walker changu kingine baada ya mafundi wa Dodoma kuniharibia kigari changu cha kwanza..
Insha’Allah weekend ijayo trip ya Dar to Dom ku test mitambo kwanza..
Mashine mpya lazima ijaribiwe Kwa road trip. Hongera mkuu.
Tunasubiri trip zako za huko, hata siku ukienda racing tuwekee.
GTi all day!Hii corona imetumaliza mkuu
Nimemiss sana Silverstone ila wanafungua mwezi wa 8 kwa ajili ya F1 na bei zimekuwa juu sana
Gari zipo ila huwezi kujiachia kama huko
Hapa ipo Porsche GTS V8,
Benz C300, Range na Golf GTi chaguo lako View attachment 1811167
GTi all day!
I love it coz it makes me feel young!
Yap, kipindi cha gas mtwara ilikuwa hot sana tena sana, nilikuwa mtwara toka 2014 nimerudi 2020, pamerudi nyuma hatari, yale makampuni ya gas na mafuta yalileta fursa nyingi sanaDuh noma..palichangamka hadi nikapapenda. Halafu nilienda na mentality kuwa Mtwara kumechoka sana kwa kusikia Kwa watu.
Nipo dodoma nimeweka base .. 🙂🙂Tumzururishe huyu aone maisha ya wazee wa road trip yalivyo
Mwamba ,safari njema ndani ya a new toy, ila usitake kufuta hicho kisahaniChombo inajiandaa kuamsha mwanza .. tank full
View attachment 1811604
Karibu Sana kwenye dunia yetu.Chombo inajiandaa kuamsha mwanza .. tank full
View attachment 1811604
Mkuu hii jana nimefuta sahani, nikashangaa watu wanao sema huwa hazifiki hadi mwisho 😀😀😀Mwamba ,safari njema ndani ya a new toy, ila usitake kufuta hicho kisahani
Beautiful scenery... enjoy mkuuChunya road! Kwenye zile kona zetu za mkoa!
Nimesikia jana kuna ajali imeua watano kwenye hii barabara ila sijajua ni wapi exactly! Leo matraffic wamejaa kila kona wamechachamaa wanataka level seats tu abiria yeyote anayezidi anashushwa njiani!
Sema hii barabara nayo ni kisanga kingine! Kona kali sana japo nayo ina breath-taking views kama zote!View attachment 1810812View attachment 1810815