ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Naingia hapo keshokutwa, then weekend ikipita naamsha Arusha.Nipo dodoma nimeweka base .. [emoji846][emoji846]
Igweeee....Chombo inajiandaa kuamsha mwanza .. tank full
View attachment 1811604
Hakika unapoteza muda mkuu. Kisahani kitafutwa tu, amin nakuambiaMwamba ,safari njema ndani ya a new toy, ila usitake kufuta hicho kisahani
Speedometer si urembo.Mkuu hii jana nimefuta sahani, nikashangaa watu wanao sema huwa hazifiki hadi mwisho [emoji3][emoji3][emoji3]
Mjerumani ni chuma kuanzia safety mkuu.. performance.. n.kSpeedometer si urembo.
Kwahiyo tunakubaliana mjapani kwa mjerumani akae atulie, sio?
Ukiachana na limiter, experience ya kuendesha mjepu ni subpar kwa mjerumani?
Safari njema mkuu.. one day tutakutana njiani 😀😀Naingia hapo keshokutwa, then weekend ikipita naamsha Arusha.
RRONDO Insha'Allah nitaipita hii njia inayosifika ya Dom - Arusha. Tulibaki mimi na wewe tu.
1.8T quattroUnasema?!! Hio ni 2.0fsi au 1.8T ?
Kwanini mkuu, nipe experience yake.1.8T ina makeke
Nimeona hiyo kitu.. ina raha sana hii kitu 😀😀I mean ina burudani kuliko 2.0fsi....ina nguvu na quattro means all wheel drive kwahio hata handling iko superior.
Hio hata mchanga wa beach inatembea
Mkuu hii jana nimefuta sahani, nikashangaa watu wanao sema huwa hazifiki hadi mwisho 😀😀😀
Hapo Nipo gear namba 6 - Crown Athelete - cc 3500
Crown bebiii😀😀
Watoto wale wamefundwa..hawajui kunyima tamuu..[emoji16][emoji16][emoji16]Umeshahu kimoja, wana show hatari ajipange [emoji23][emoji23]
Majesta ni chuma hiki 😋😋Hii gari niliipa sana sheeda ya kutosha. Nilinunua 2013 ishapiga sana arusha mwanza singinda huko nzega sijui wapi. enzi hizo ninayo mm na mwarabu mmoja hivi yupo Upanga. After few years nikaona vijana wananunnua nnua kama njungu. sasa mm nikaiuza. Sasa hivi nimehama huko nipo kwenye V8 ya Chini, Majesta gear 8. chombo ninatizo kina hama kama akina akili nzuriView attachment 1811789
View attachment 1811792