Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hujapiga hata picha hiyo view ya mtera,si unajua ukifatilia huu uzi na unajiona kama upo safarini vile..
 
Imetosha mkuu bado unahitajika na jamii inayokuzunguka na JF pia.
 
Aisee hongera, lakini una hatari mkuu. Maana hii ni average ya zaidi ya 150km kwa saa
 
Mkuu RRONDO , najua you are well packaged with sufficient knowledge kuhusu chuma za mjerumani.

Hivi, kati ya VW golf GTi na VW Polo GTi... ipi ina unafuu kwenye maintenance costs?

Kwenye performance, ipi ni ya kibabe kwenye kuufukuza upepo?

Polo na Golf.. ni jamii ya baby-walker? minimum engine cc ni ngapi?

-Kaveli-
 
Polo ni Ka baby walker. Golf GTi ndio chuma kilichoumbwa kutulia.
Golf GTi inakuwa 2000cc turbo charged ambayo mwendo uko limited to 250kph stock, ukii tune unaweza kufuta kisahani 300kph.
Hapo mwamba ni Golf GTi maintanance hazitofautiani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…