Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Ila ukiwa unaenda dodoma fupi ni ya manyoni, kuliko kupitia nzega.. mkeka ni mtaaamu sanaa.. nachopendea hakuna unafiki wa trafic kule.. unatembea tani yakoDodoma to Tabora via Manyoni na Itigi sio? Aisee bonge la mkeka kona kitu gani tuko na sedans mkuu?
Mimi nilitumia 3 hours Nkuhungu to Tabora, trip meter hiyo hapo, 127kmph average. Ile lami ni tamu MNO!
View attachment 1815749
Tabora Nzega pia ni burudani ila pafupi only 120km wakati Tabora to Manyoni ni around 250km.