Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huwa naangalia mtu ana VX au Mercedes S class anaendeshwa nasema hiiiiii.....dereva ndio anainjoi zaidi!
acha tu..hiyo VX miaka miwili ijayo ntakupigia uje uionje siku inatoka bandarini pale...nshaiwekea mikakati fedha..1HD FTE, manual,turbo,diff lock,mama.e...roho ipo hapo miaka kibao,Mungu atupe uhai ...😀
 
Kuna Benz GLE la mshikaji mmoja nilisafiri nalo mwaka jana.

Likiwashwa full unaona 200M mbele. Kila kitu clear.

Halafu huyo jamaa alikuwa anafukia 220kph maeneo ya Same.

Wapo watu na Courage. Mi hata 150kph siendeshi usiku.
Last year usiku nilikuwa napiga hadi 180kph ila ukipishana na gari huoni mita 10 mbele for few seconds. Usiku hatari sana.
New RR beam unaona 500m. Pia Navara mpya hizi zina taa Kali sana
 
Sipati picha kupambana na upepo dar to Arusha au Mbeya
Kuna Safety Gear za kuendeshea pikipiki kuanzia Helmet,Gloves,Jacket,Tracks na Viatu. Sio kama tunavyoendesha kienyeji hapa Bongo.

Yote ya yote kuendesha pikipiki safari ndefu inahitaji utimamu wa mwili(Physical Fit) na utulivu wa akili.
Hata uwe na bike ya kisasa kama mwili hauko timamu ukiendesha safari ya Dar-Tanga kesho ukiamka mwili unakuwa umechoka kama ulilima ekari 100. Kama mkono, tumbo Lina nyama uzembe kesho ukiamka unahisi maumivu Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…