Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Kumbe ni hao qwio qwio huku kwetu Singida na Dodoma tunao kibao😀😀😀😀 anatakiwa awe kuku wa kienyeji kama kuku wa kienyeji sio hao wengine
basi ngoja nikajaribu Tanga majani mapana au Pangani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni hao qwio qwio huku kwetu Singida na Dodoma tunao kibao😀😀😀😀 anatakiwa awe kuku wa kienyeji kama kuku wa kienyeji sio hao wengine
unajua Mkuu avatar iliniogopesha nikijua ni mama kanionea huruma, sikumuona jamaa pembeni hapo ili fafanue lkn kumbe ni dereva mzoefu wa hizi L/C basi karibu kuna moja niliyoitumia ipo sokoni ilisumbua transferUsiku ni hatari sana ndugu....nakushauri tu...lala walau anza safari utakapoamka hata kama ni saa tisa,walau labda iwe muhimu sana. acha tu..hiyo VX miaka miwili ijayo ntakupigia uje uionje siku inatoka bandarini pale...nshaiwekea mikakati fedha..1HD FTE, manual,turbo,diff lock,mama.e...roho ipo hapo miaka kibao,Mungu atupe uhai ...😀
naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tu mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana wanyama hawakusogeleiNa sound ya V6 au V8 power!
kwa hizi barabara zetu ogopa speed na hasa Mabasi ya abiria, kuna fujo za ajabu inabidi uwe mnyonge kuyaanchia nafasi na wala usifuate sheria eti hapa namnyima nafasi au nitawahi,Ni kweli hiyo addiction imeninasa.
Nipo Mzee mambo vp lete habariIsanga family nakuhitaji mkuu
Niku pm kakaNipo Mzee mambo vp lete habari
Hii ni serious ride mkuu...naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tena engine ya 1HZ au HZJ ya piston 6 tu gear ziwe ni za fimbo mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana maana kuna Bass No 3 unaingia 4 ukiamalizia na 6 sauti nyororo hulali hata wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
Najua zile leather suit na viatu vyake maalum. Ile hata ukianguka Una roll tuKuna Safety Gear za kuendeshea pikipiki kuanzia Helmet,Gloves,Jacket,Tracks na Viatu. Sio kama tunavyoendesha kienyeji hapa Bongo.
Yote ya yote kuendesha pikipiki safari ndefu inahitaji utimamu wa mwili(Physical Fit) na utulivu wa akili.
Hata uwe na bike ya kisasa kama mwili hauko timamu ukiendesha safari ya Dar-Tanga kesho ukiamka mwili unakuwa umechoka kama ulilima ekari 100. Kama mkono, tumbo Lina nyama uzembe kesho ukiamka unahisi maumivu Tu.
Barabara zetu full of surprises! Leo umepita mkeka Safi kesho ukirudi kuna tuta au bonge la shimokwa hizi barabara zetu ogopa speed na hasa Mabasi ya abiria, kuna fujo za ajabu inabidi uwe mnyonge kuyaanchia nafasi na wala usifuate sheria eti hapa namnyima nafasi au nitawahi,
lazima kiti ulichokalia utaona km kimelowa kwa speed hiyo ya 240 km/h endapo utanyimwa overtaking au upige shimo
Natembea nayo mara kwa mara Dar Mwanza nimeishaenda mara tatu, Asubuhi Dar Jioni MwanzaWale mnaofanya road trip na pikipiki (Bikes) mbona kimya, hakuna road trip mzuri kama ya kuendesha bike.
Hii gari lakini haijagi na 1HD-FTE au 1HZ bali nyingi ni za 1VD-FTV au 3UZ-FE.naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tena engine ya 1HZ au HZJ ya piston 6 tu gear ziwe ni za fimbo mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana maana kuna Bass No 3 unaingia 4 ukiamalizia na 6 sauti nyororo hulali hata wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
Oohh ShukraniUnaweza
Ni kweli mkuu hujakosea nimeona hapo chini ila modified sisi madereva huwa hatuzioni maana unakuta linaitwa hardtop, sisi tukisoma Model tunajua ndio type ya engine tenaHii gari lakini haijagi na 1HD-FTE au 1HZ bali nyingi ni za 1VD-FTV au 3UZ-FE.
Ukitaka la 1HD-FTE labda liwe modded.
atakuwa anapaa maana hayo mashimo na bumps ni zaidi ya km 1200 PAGUMUKweli wewe ni biker!
Basi watakuwa wanayaandikia ndivyo sivyoNi kweli mkuu hujakosea nimeona hapo chini ila modified sisi madereva huwa hatuzioni maana unakuta linaitwa hardtop, sisi tukisoma Model tunajua ndio type ya engine tena
ni Transfer toka serikalini linapita bado mikononi wengine wanongezea taa za k/kwanza nk, hapo lipo sokoni
Mnaziogopa tu...Body mwili wako....safiri salama!
Halafu leo niliwaza hiki kitu nikasema ngoja nitakuja kwenye huu uzi kuuliza? Hivi kumbe inawezekana kufanya road trip kwa pikipiki safari ya masaa hata zaidi ya 12 mfano from Dar to Mbeya and how does it feel?Wale mnaofanya road trip na pikipiki (Bikes) mbona kimya, hakuna road trip mzuri kama ya kuendesha bike.
Yaani hata kulinadi zoom au hapa linasumbua, Kadi inapishana sana na Body na mwaka lilipoingia naogopa hata kuweka specification zote, km ni dharura linakodishwa bei safi hata kwa mwezi, naona atapunguza maana miaka inaenda, zima kabisa, yapo mengi yaliyohamishwa kwa bei nafuuBasi watakuwa wanayaandikia ndivyo sivyo