Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Usiku ni hatari sana ndugu....nakushauri tu...lala walau anza safari utakapoamka hata kama ni saa tisa,walau labda iwe muhimu sana. acha tu..hiyo VX miaka miwili ijayo ntakupigia uje uionje siku inatoka bandarini pale...nshaiwekea mikakati fedha..1HD FTE, manual,turbo,diff lock,mama.e...roho ipo hapo miaka kibao,Mungu atupe uhai ...😀
unajua Mkuu avatar iliniogopesha nikijua ni mama kanionea huruma, sikumuona jamaa pembeni hapo ili fafanue lkn kumbe ni dereva mzoefu wa hizi L/C basi karibu kuna moja niliyoitumia ipo sokoni ilisumbua transfer
wataalam wa lugha wanaita usingizi / Fatigue kwa hiyo ukiendesha angalau masaa 8 mpaka 10 ulale angalau masaa kadhaa
hilo la kuendesha siku 3 kutoka Dom kwa Basi hadi Dar-Dodoma-Bukoba-Dodma ni kweli lkn nililala
asubuhi nilipanda Bus hadi Dar ndani ya basi nililala
Gari nimeichukua saa 3 hadi saa 9 usiku naendesha ili niwahi kusafirisha familia ni masaa 7 nikalala nilipofika
alfajiri Dom Igunga nikapunguza, Msibani nililala sana tu kurudi nililala na Kintinku sema Gari ikiwa na watu 8 tena familia usingizi hauishi ukipumzika bora ningekuwa peke yangu,
ningeweka ernegy drink na kufungulia madirisha yote kupata usic wa engine, fan na exhaust sio wa redio
asante kwa Ushauri
 
Attachments

  • 1608563605990.png
    1608563605990.png
    9.8 KB · Views: 14
Na sound ya V6 au V8 power!
naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tu mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
 
Attachments

  • LAND CR.png
    LAND CR.png
    75.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_2020-12-21-16-26-48.png
    Screenshot_2020-12-21-16-26-48.png
    80.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_2020-12-21-17-25-02.png
    Screenshot_2020-12-21-17-25-02.png
    66.2 KB · Views: 13
Ni kweli hiyo addiction imeninasa.
kwa hizi barabara zetu ogopa speed na hasa Mabasi ya abiria, kuna fujo za ajabu inabidi uwe mnyonge kuyaanchia nafasi na wala usifuate sheria eti hapa namnyima nafasi au nitawahi,
lazima kiti ulichokalia utaona km kimelowa kwa speed hiyo ya 240 km/h endapo utanyimwa overtaking au upige shimo
 
naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tena engine ya 1HZ au HZJ ya piston 6 tu gear ziwe ni za fimbo mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana maana kuna Bass No 3 unaingia 4 ukiamalizia na 6 sauti nyororo hulali hata wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
Hii ni serious ride mkuu...
 
Kuna Safety Gear za kuendeshea pikipiki kuanzia Helmet,Gloves,Jacket,Tracks na Viatu. Sio kama tunavyoendesha kienyeji hapa Bongo.

Yote ya yote kuendesha pikipiki safari ndefu inahitaji utimamu wa mwili(Physical Fit) na utulivu wa akili.
Hata uwe na bike ya kisasa kama mwili hauko timamu ukiendesha safari ya Dar-Tanga kesho ukiamka mwili unakuwa umechoka kama ulilima ekari 100. Kama mkono, tumbo Lina nyama uzembe kesho ukiamka unahisi maumivu Tu.
Najua zile leather suit na viatu vyake maalum. Ile hata ukianguka Una roll tu
 
kwa hizi barabara zetu ogopa speed na hasa Mabasi ya abiria, kuna fujo za ajabu inabidi uwe mnyonge kuyaanchia nafasi na wala usifuate sheria eti hapa namnyima nafasi au nitawahi,
lazima kiti ulichokalia utaona km kimelowa kwa speed hiyo ya 240 km/h endapo utanyimwa overtaking au upige shimo
Barabara zetu full of surprises! Leo umepita mkeka Safi kesho ukirudi kuna tuta au bonge la shimo
 
naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tena engine ya 1HZ au HZJ ya piston 6 tu gear ziwe ni za fimbo mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana maana kuna Bass No 3 unaingia 4 ukiamalizia na 6 sauti nyororo hulali hata wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
Hii gari lakini haijagi na 1HD-FTE au 1HZ bali nyingi ni za 1VD-FTV au 3UZ-FE.

Ukitaka la 1HD-FTE labda liwe modded.
 
Hii gari lakini haijagi na 1HD-FTE au 1HZ bali nyingi ni za 1VD-FTV au 3UZ-FE.

Ukitaka la 1HD-FTE labda liwe modded.
Ni kweli mkuu hujakosea nimeona hapo chini ila modified sisi madereva huwa hatuzioni maana unakuta linaitwa hardtop, sisi tukisoma Model tunajua ndio type ya engine tena
ni Transfer toka serikalini linapita bado mikononi wengine wanongezea taa za k/kwanza nk, hapo lipo sokoni
 
Attachments

  • Screenshot_2020-12-21-21-21-43.png
    Screenshot_2020-12-21-21-21-43.png
    96.5 KB · Views: 13
Ni kweli mkuu hujakosea nimeona hapo chini ila modified sisi madereva huwa hatuzioni maana unakuta linaitwa hardtop, sisi tukisoma Model tunajua ndio type ya engine tena
ni Transfer toka serikalini linapita bado mikononi wengine wanongezea taa za k/kwanza nk, hapo lipo sokoni
Basi watakuwa wanayaandikia ndivyo sivyo
 
Wale mnaofanya road trip na pikipiki (Bikes) mbona kimya, hakuna road trip mzuri kama ya kuendesha bike.
Halafu leo niliwaza hiki kitu nikasema ngoja nitakuja kwenye huu uzi kuuliza? Hivi kumbe inawezekana kufanya road trip kwa pikipiki safari ya masaa hata zaidi ya 12 mfano from Dar to Mbeya and how does it feel?

Sababu hiyo ya pikipiki nahisi mtu ndiyo anaenjoy zaidi! Maana mandhari yako peupe kabisa siyo hadi uchungulie dirishani!
 
Basi watakuwa wanayaandikia ndivyo sivyo
Yaani hata kulinadi zoom au hapa linasumbua, Kadi inapishana sana na Body na mwaka lilipoingia naogopa hata kuweka specification zote, km ni dharura linakodishwa bei safi hata kwa mwezi, naona atapunguza maana miaka inaenda, zima kabisa, yapo mengi yaliyohamishwa kwa bei nafuu
 
Back
Top Bottom